Wadau mnisaidie niko iringa nataka kwenda dsm lakini swala la usafiri limekua tata sana kuna nini? Kama kuna mdau wakunipa msaada plz nipate usafiri.
mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!