Mizigo yapungua bandari ya DSM

Mizigo yapungua bandari ya DSM

Wasiangalie kiasi cha mizigi peke yake bali waangalie mapato. Bandari ilikuwa inapitisha shehena kubwa lakini mapato hayaendani, na hata kwenye hiyo article naona kelele nyingi ziko kwenye shehena na sio mapato!
nakubaliana na wewe , kama zinapita kontena elfu moja tunapata tsh 500 , lakini zikipita kontena 100 na tunapata tsh 1000 basi bora wajiondokee tu .
 
Serikali inapaswa kuongeza juhudi katika mpango wke wa kufufua reli ya kati ili kuweza kupungza gharama za usafirishaji wa mizigo kutoka bandar kwenda nchi zinazotuznguka....hyo itawavutiwa wengi kuendelea kutumia bandari yetu kupitishia mizigo yao
 
Ilikuwa hivi.
TRA/TPA hawatozi ushuru/charge ya mzigo wowote ambao umepakiwa ndani ya gari.

Wao wanatoza gharama za kukushushia gari/kukuhifadhia hadi siku utakapolichukua. Kwa hiyo gari zenye mizigo zikawa zinapita tu.

Mwaka nakumbuka 2004 wakasema gari za Transit zisiwe zinapakia. Hapo ndipo watu getini wakaanza kupiga pesa.

Kuhusu agent yeye Bond yake inaishia Tunduma, ukisha lodge document border yeye Bond yake inaachiwa.
Kuanzia Zambia kuendelea agent wa TZ haimuhusu.

Kuhusu ulizi huwo ni ujanja wako mwenyewe. Mara nyingi huwa wanachomea kwenye milango, wengine wanaweza bawaba. Ila wizi ulipungua sana kuanzia 2007 kuendelea.Mara nyingi wafanya Kazi wa TPA kama kuna kitu wamekipenda huwa wanakuja kukuomba.

Mjomba watu wamepiga pesa huwezi amini kwa system hizo Na ziko nyingi huo mfano mdogo tu nimekupa.
Sasa hapo mwishoni kabisa kwenye 2014/2015 ndio kama ukikuta shift mbaya TPA/TRA ndio unaambiwa ukafanye C11 (Manifest Correction) Kwa shipping line.

Kisha ndio ikaja hii Sheria mpya ya mizigo yote kulipiwa ushuru hapa hapa.

Hao hao ma agent ndio wanakupa akili zote, kulikuwa Na mmoja ana kuandalia hadi yard ya kuushushia mzigo kabisa, mnaingia geti linafungwa mnashusha mnapakia kwenye Canter. Mnatengeneza risit pale hao mnasepa zenu Kariakoo.
 
mpita njia watu wanaendelea kupiga hela sio kwamba watu hawafanyi dili iyo miaka ya 2004 nakukubalia ila sio karibuni miaka iyo contenna la apple unalipia milion mbili la na laki tatu kodi..tv contena 20ft milion tano kodi ilikua ndogo sana mkuu na wengi walilipa ilipokuja system mpya na kodi kupaa ndio ukwepaji ukaanza..ila sio kirahisi sana
 
Mi sisemei mizigo/magari ambayo ni Local.

Nasemea kuhusu Magari ambayo yanafanywa Transit to DRC au Burundi. Yanashindiliwa mizigo ya Thamani Kubwa ndani , kisha mizigo hiyo inashushwa hapa nchini bila kulipiwa hata shs 100 zaidi ya hongo walinzi Na wakaguzi wa Bandari.

Hayo ya Local ni story nyingine completely.
 
Kama wage bill imefika 550billion kwa mwezi tukifika huko si itakua kiama?
Hapo hujaweka marupurupu na allowances kibao
Nusu ya makusanyo tunawalipa wafanyakazi WA serikali
Just think kodi mbali mbali ninazolipa zinaenda kumlisha Makonda
Its crazy
 
Hahaa eti siasa za maigizo, kwa mizigo ijae bandarini halafu mapato sifuri. Wacha waende huko huko wanakofurahia kujaza mizigo bila mapato. Binafsi ninachoweza kuishauri serikali ni kutafuta namna ya kupunguza kodi na kuimarisha thamani ya shilingi dhidi ya dola.
 
mpita njia hao wageni wamepoteza mizigo wengi kwa kuchanganya mizigo ambayo haipo katika bill og landing na ikifika hapa huwa tatizo kuna gharama wanachajiwa ns inachukua muda wengine mizigo yao inafikia kupigwa mnada ivyo vitu kwa simulizi ni rahisi ila ki uharisia mkuu ni shida..wazambia na wakongo wengi tuu mizigo yao imeuzwa katika mnada kwa kesi zipi si kama izo mkuu..
 
Unapoongelea ujenzi au uboreshaji wa reli hapa Tanzania yakupasa uwe makini kwani unakuwa unacheza na maslahi ya watawala ambao wamewekeza kwenye vyombo vya usafirishaji (malori) na hawana mpango wowote na huo upuuzi wa reli.
 
mpita njia hao wageni wamepoteza mizigo wengi kwa kuchanganya mizigo ambayo haipo katika bill og landing na ikifika hapa huwa tatizo kuna gharama wanachajiwa ns inachukua muda wengine mizigo yao inafikia kupigwa mnada ivyo vitu kwa simulizi ni rahisi ila ki uharisia mkuu ni shida..wazambia na wakongo wengi tuu mizigo yao imeuzwa katika mnada kwa kesi zipi si kama izo mkuu..
Mkuu unachanganya mambo.

Soma post kisha comment zangu nafikiri utanielewa.

Ninachoongelea Mimi ni namna kulivyokuwa Na mwanya wa ukwepaji kodi Mkubwa kabla ya Sheria hii mpya ambayo imepunguza magari Na mizigo kwa Zaidi ya 50%.

Kuhusu Magari kuachwa bandarini hiyo inatokea, mbona hata Joseph Kusaga gari lake lilitangazwa kuuzwa baada kushindwa kulipa gharama. Pia Didas Masaburi, hiyo ni normal

Mimi nakijita kwenye hoja ya mwanya uliokuwepo kabla ya Sheria.
 
Naukumbuka sana Wimbo wa BAHATI BUKUKU, hakukosea. Unapoianza safari wanakupa matumaini, unapoonesha nafanikio wanaanza vikwazo, wewe mleta mada ni mmoja wa wale wanaonza vikwazo katika safari aliyoianzisha Magufuli.
 
ni normal kupiga mnada gari la transit au unazungumzia nini mkuu hao uliosema ni local tunazungumzia transit goods au..nani anaechanganya mada hapo..
 
ni normal kupiga mnada gari la transit au unazungumzia nini mkuu hao uliosema ni local tunazungumzia transit goods au..nani anaechanganya mada hapo..
Tuweke hivi naongolea UK na DRC nchi ambazo nna experience nazo kikazi.

Kama ukisoma post ya nyuma nikakupigia hesabu namna unavyoweza kuingiza LCD TV 200 Tanzania kutoka UK Na kupata faida ya shs mil 60.
Lakini hizo TV zinakuwa zimepakiliwa kwenye gari ambalo nilikuwekea picha ambalo linakuwa linakwenda Congo via Dar es Salaam Port.

Sasa Bandari ilivyokuwa kwa sababu mzigo upo ndani ya gari Na haujawa declared kwenye Bill of Lading hauulipiikitu, wewe unalipia gharama za gari tu Ambazo ni kama $400 basi gari linatoka nje tayari kwa safari ya kwenda DRC.

2004 TPA wakaanza kusema kama gari za Transit hazitakiwi kubeba mzigo, Sheria haikuwa Kali, wakawa wanabana zaidi kwenye geti namba 3 ambalo ndio lakutolea magari. Mara nyingi ukimpa agent kama 200,000 za kuhonga gari ilikuwa inatoka fresh.

2014/2015 TPA wakaongeza ukali kuhusu mizigo, lakini wale wasiokuwa wanapiga ishu zile wakawa washahama Bandari Na kuamia ZNZ.
Hapo sasa Gari za Transit zenye mizigo ambayo haujaandikwa kwenye Bill of lading zikawa zinatakiwa kukata C11.
Juzi sasa ndio Sheria hii mpya imeanza japo kuwa watu wangu wa ishu washahama Bandari siku nyingi.

Hapo njiani ndio inafaulusha mzigo, Na gari tupu mnaenda kulitupa Tunduma/Nakonde.

Kuhusu mizigo kutelekezwa inatokea kila sehemu iwe ni Local au Transit.
Mtu inaweza kuwa umejipanga kuagiza gari kisha mambo yakatokea pesa ukatumia. Mwisho wa siku gari inafika pesa huna.

Ndio nikakupa mfano wa matajiri ambao wameshindwa kulipia magari japo kuwa wana pesa kibao.

**Uliza ambapo hujaelewa nikueleweshe
 
Mammaqmqmniokoo hatuna pa kushika lazma tukale ugali wa njano safari hiii
 
Mkuu unachanganya mambo.

Soma post kisha comment zangu nafikiri utanielewa.

Ninachoongelea Mimi ni namna kulivyokuwa Na mwanya wa ukwepaji kodi Mkubwa kabla ya Sheria hii mpya ambayo imepunguza magari Na mizigo kwa Zaidi ya 50%.

Kuhusu Magari kuachwa bandarini hiyo inatokea, mbona hata Joseph Kusaga gari lake lilitangazwa kuuzwa baada kushindwa kulipa gharama. Pia Didas Masaburi, hiyo ni normal

Mimi nakijita kwenye hoja ya mwanya uliokuwepo kabla ya Sheria.
Hizo takwimu za kushuka biashara bandarini kwa asilimia 50% ni kuanzia jan 2015 na jan 2016. Ina maana hali hiyo ilitokea kwa sehemu kubwa kabla Magufuli hajaingia.
 
Utasikia SIAFU wa lumumba hapa kaziii tu kumbe kamekamata simu smart walizohongwa na January hahah
 
Naukumbuka sana Wimbo wa BAHATI BUKUKU, hakukosea. Unapoianza safari wanakupa matumaini, unapoonesha nafanikio wanaanza vikwazo, wewe mleta mada ni mmoja wa wale wanaonza vikwazo katika safari aliyoianzisha Magufuli.
Tunaonge kilichopo
 
Back
Top Bottom