Unaona bora angerejea Lowassa au sio?
Binafsi nimefurahi kuwa taifa halitaingia gharama zisizo za lazima. Naamini mkuu wangu Gembe atakubaliana nami katika hili, pamoja na kuwa mwanzo alinihabarisha kuwa Pinda nisimtarajie lakini 'inshallah' karejea.
Ni bora mara mia ya Pinda kuliko kuletewa kiumbe mpya ambaye atakuwa anajifunza kazi hii ngumu
Invisible,
Kipi bora, taifa kuingia gharama za kumhudumia waziri mkuu mstaafu asiyekuwa na inputs yoyote au kuwa na waziri mkuu mpya anayeweza kufanya maamuzi mazito yenye tija kwa taifa kwa mfano kuamuru baadhi ya idara za TRA kufanyakazi masaa 24 kuongeza ufanisi wa kuondoa mizigo bandari ili kukuza pato la taifa? n.k. Hiyo ya kumhudumia waziri mkuu mstaafu is just a peanut ukilinganisha na pesa zinazopotelea hewani.
Waziri Mkuu wa kufanya wonders mnazozitamani HAYUPO KWA SASA, labda tujaribu tena baadae! Ndo maana sikuwa naona sababu ya kulisababishia gharama za kuweka mtu mwingine ambaye ni obvious wengi angewashtua na kuwakera kwa uteuzi wake na ni wazi angepitishwa na wabunge wa CCM kirahisi tu wakishirikiana na wabunge wa vyama dada.Invisible,
Kipi bora, taifa kuingia gharama za kumhudumia waziri mkuu mstaafu asiyekuwa na inputs yoyote au kuwa na waziri mkuu mpya anayeweza kufanya maamuzi mazito yenye tija kwa taifa kwa mfano kuamuru baadhi ya idara za TRA kufanyakazi masaa 24 kuongeza ufanisi wa kuondoa mizigo bandari ili kukuza pato la taifa? n.k. Hiyo ya kumhudumia waziri mkuu mstaafu is just a peanut ukilinganisha na pesa zinazopotelea hewani.
Kweli uchaguzi haukujali performance,sualaa si uadilifu pekee yake lazima mtu awe na proven track record ya kuleta mabadiliko katika mchakato mzima wa maendeleo,ndo maana watu walikuwa tayari kufumbia macho makosa aliyofanya magufuli kama anagepata hii nafasimKwa kusema kweli sikutegemea kama angeteuliwa tena.Kwa kipindi alichokua PM na Pia waziri wa serikali za mitaa hakuna kinachoonekana.Ila akitaka abadilishe mfumo wake wa kuongoza kwa uoga na pia uongozi sio bungeni tu,aje kwa wananchi kuinua na kusukuma miradi ya maendeleo.
Wamemnusuru huyu mama, kapita "BILA KUPINGWA"... Demokrasia bado ina safari ndefu sana nchi hii!ha haaaaaaaaaaa, kama namuona huyo mama anavyofanya riheso kimoyomoyo
Invisible,
Kipi bora, taifa kuingia gharama za kumhudumia waziri mkuu mstaafu asiyekuwa na inputs yoyote au kuwa na waziri mkuu mpya anayeweza kufanya maamuzi mazito yenye tija kwa taifa kwa mfano kuamuru baadhi ya idara za TRA kufanyakazi masaa 24 kuongeza ufanisi wa kuondoa mizigo bandari ili kukuza pato la taifa? n.k. Hiyo ya kumhudumia waziri mkuu mstaafu is just a peanut ukilinganisha na pesa zinazopotelea hewani.
Waziri Mkuu wa kufanya wonders mnazozitamani HAYUPO KWA SASA, labda tujaribu tena baadae! Ndo maana sikuwa naona sababu ya kulisababishia gharama za kuweka mtu mwingine ambaye ni obvious wengi angewashtua na kuwakera kwa uteuzi wake na ni wazi angepitishwa na wabunge wa CCM kirahisi tu wakishirikiana na wabunge wa vyama dada.
Tatizo linalotukabili kama taifa ni viongozi wetu kujali siasa na kusahau kuwa tunalitumikia taifa hili ambalo ni letu sote. Ukiangalia, Pinda ana uzalendo kuliko walio wengi ambao mnaweza kutamani 'wajaribiwe'
Wengi mnaowaona wakiongea as if wana uzalendo ni wazushi tu, hawana uthubutu mnaodhania wanao!
Uamuzi kwamba TRA ifanye kazi masaa ishirini na nne kwa manufaa ya taifa si aina ya maamuzi yanayohitajii maamuzi ya PM mkuu wa idara tu anatosha kufanya hiyo operation kama ni ya muda maalum. Kama ni maamuzi ya kisera kwamba kuanzia leo TRA itafanya kazi zake kwa mtindo huo hapo mkurugenzi wa TRA anatosha PM is too far to deal with this small operations.Invisible,
Kipi bora, taifa kuingia gharama za kumhudumia waziri mkuu mstaafu asiyekuwa na inputs yoyote au kuwa na waziri mkuu mpya anayeweza kufanya maamuzi mazito yenye tija kwa taifa kwa mfano kuamuru baadhi ya idara za TRA kufanyakazi masaa 24 kuongeza ufanisi wa kuondoa mizigo bandari ili kukuza pato la taifa? n.k. Hiyo ya kumhudumia waziri mkuu mstaafu is just a peanut ukilinganisha na pesa zinazopotelea hewani.
J4K....Kaka hapa ndipo unapoona taifa kama taifa linahitaji nguvu kazi Mpya na akili Mpya ya kufikiria. Baadhi ya mambo yanayowezekana kufanyika ndani ya idara husika yanalala.Uamuzi kwamba TRA ifanye kazi masaa ishirini na nne kwa manufaa ya taifa si aina ya maamuzi yanayohitajii maamuzi ya PM mkuu wa idara tu anatosha kufanya hiyo operation kama ni ya muda maalum. Kama ni maamuzi ya kisera kwamba kuanzia leo TRA itafanya kazi zake kwa mtindo huo hapo mkurugenzi wa TRA anatosha PM is too far to deal with this small operations.
Wamemnusuru huyu mama, kapita "BILA KUPINGWA"... Demokrasia bado ina safari ndefu sana nchi hii!
CUF wamepambana miaka zaidi ya 20 na wale mnaowabeza nadhani mmesahau walikotoka na hapa walipofikia si haba; MOJA SHIKA SIO KUMI NENDA RUDI! Wale wafuasi wao walioathirika na harakati za mapambano ndio gharama ya kufikia kule walikokuwa wanaelekea.
Well said brother, tuache kufanya mambo kwa mazoea kwa kuwa mambo yanabadilika kwa kasi kuliko uwezo wetu wa kukabili mwenendo. Cha ajabu bado tunaimba tunataka maendeleo bila kuzingatia mbinu sahihi za kuyapata hayo maendeleo, as if maendeleo ni dua ukiomba yatosha unamsubiri subhana afanye mambo yake "tunahitaji mabadiliko ya kifikra kuhusu utendaji wetu" tupunguze mapokeo kwamba mtu hata kama ni kilaza akishachaguliwa tu kuwa kiongozi anachukuliwa kama think tank fulani, hatujiulizi huyu tulikuwa tunacheza naye bao juzi leo huu u genious ameutoa wapi.J4K....Kaka hapa ndipo unapoona taifa kama taifa linahitaji nguvu kazi Mpya na akili Mpya ya kufikiria. Baadhi ya mambo yanayowezekana kufanyika ndani ya idara husika yanalala.
Ipo haja ya hawa wahusika ktk idara husika wabadilike, wasisubiri order itoke juu ndio wafanye, wanahitaji kuwa wabunifu.labda wawe wanakwazwa na watu waliojuu yao.
Pinda awe makini kufuatilia issues za umuhimu wa Taifa na kuwashughuulikia wazembe na au watendaji waovu wasioweza kudeliver...
Heshima kwako mkuu, ila wapaswa kukumbuka msemo usemao 'kama huwezi kupambana nao jiunge nao' yaani "If you won't fight join them" umuhimu wa unyonge huu ni kwamba, kwa kuwa demokrasia yetu bado ni changa na waliopo madarakani wameapa kutoachia madaraka kwa njia ya box la kura, katika kujiunga nao unajenga ukaribu unaopelekea ushawishi ambao unaweza kuzaa fairness itakayopelekea tume huru ya uchaguzi na nyingine zinazowakabili wapiga kura wako.Kurudi chama tawala? Maana sasa msamiati mpya ni CCM na vyama dada! Na hakuna jipya Zanzibar zaidi ya Seif kuamua kula pension yake. Nasikitika malipo ya damu ya wanaCUF waliokufa wakidai demokrasia hayajakuwepo