Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

Sijui nitumie mbinu gani ili uelewe kuwa JPM ndio Rais ajaye?
huyu anayesema sina Mgombea? Halafu Leo kumbe ndio kawatuma hawa wakagombee huku na huko?? Mtu mmoja ndimi mbili
 

Attachments

  • IMG-20200902-WA0031.jpg
    IMG-20200902-WA0031.jpg
    59.3 KB · Views: 1
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini? Primary Level au Secondary Level?

View attachment 1527163

Ninapoongelea mzazi wa kipato cha chini kwenye muktadha huu nina maana kwamba ni yule ambaye anatamani mtoto wake asome katika Private School ila hawezi kumudu gharama za kuanzia darasa la kwanza mpaka form six. Yeye anaweza kumudu Level moja tu baaas.

Kama mtoto atasoma primary level katika Private School basi secondary level atasomea katika shule ya Serikali na vice versa.

Kuna jirani yangu nipo nae hapa anadai ni bora mtoto aanzie elimu ya msingi katika Private School ili apate msingi bora wa lugha ya kiingereza hata akienda secondary anaelewa masomo kwa ufasaha.

View attachment 1527164

Classmate wangu Beautiful Nkosazana yeye alikuwa anadai eti ni bora mtoto akaanza Primary Level katika shule ya serikali ili akienda Secoary katika Private School anakuwa tayari amekomaa vema kiakili na anaweza kujimudi.

HII IMEKAA VP NDUGU ZANGU?

WEWE UNANISHAURIJE KAKA/DADA YANGU?

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Magufuli anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
 
Ambaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu.
 
Back
Top Bottom