Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

Primary msomeshe shule za kawaida, Sekondari mpeleke Private, then A-level atajipeleka mwenyewe shule za serikali baada ya kufaulu vizuri Olevel.

THubutu.
Mtazamo wangu
Chekechea muhimu sana akajifunze kiingereza huko, Primary mpeleke hukohuko then kuanzia sekondary mrudishe kayumba, akiyumba form three mtoe mrudishe hukohuko Private hilo ni bogas tena na ni mzigo wako,
ila nategemea asiyumbe achanje mbuga hukohuko kayumba mpaka chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom