Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,664
mkuu unamaanisha hicho ni kioo cha Bajaji?
Wanasema gerezani huwa hakuna speya inayokosekana pale.
Hata kama kwa muda huo wasingekuwa nacho but wangeenda kunyofoa hata kioo cha fast jet.
mkuu unamaanisha hicho ni kioo cha Bajaji?
Atcl imelogwa. Kwani mheshimiwa maji.marefu hawezi kuiagua?
Watanzania tunatakiwa kutulia na kukusanya nguvu ili tufanye vitu vya maana, haya mambo ya kukurupuka yatatupeleka pabaya. nchi kubwa kama Tanzania, yenye utajiri mkubwa na watu wenye akili hatuwezi kuwa na shirika linalobeba nembo ya nchi kwa kutimia kandege kama hako. Mi ninafanya kazi kwenye moja ya viwanja vya ndege vikubwa hapa nchini, nikiangalia RWANDAIR NA KENYA AIRWAYS roho inaniuma sana. Kanchi kama rwanda ambako hakana chochote kana ndege zinazoeleweka iweje sisi!!!!
Napanga kufungua duka la vipuli vya ndege bongo sijui kama nitapata wateja wa uhakika hasa ikizingatiwa kuwa sitakuwa tayari kutoa rushwa ili kuleta tenda kwangu.
View attachment 80357
Matengenezo hayo yanafanyika katika uwanja wa ndege wa Kigoma yakisimamiwa na Mhandisi Righton Mwakipesile na Mhandisi Merkior Karwani.
Uongozi wa ATCL umedhibitisha kuwa safari za Dar-Kigoma-Dar zitaendelea kama ratiba yao inavyoonyesha punde kuanzia kesho tarehe 22/1/2013....Michuzi Blog
hizi ndege nazo zina majanga!!!likiisha hili la kioo litakuja jingine tena!
Sina imani ya ndege za ATCL, nawashauri wa tz wenzangu waniunge mkono katika hili..! Ni mara mia tubanane na fast jet au tukamuliwe kule precision air kuliko kuchezea uhai.!