Atcl imelogwa. Kwani mheshimiwa maji.marefu hawezi kuiagua?
Wacha tumpe pongezi, angalau amethubutu kuingia kichwa kichwa hopefully atapunguza mizengwe iliyopo.Mwakyembe anajitahidi sana lakini ndio hivyo aliingia kichwa kichwa sana
Kiongozi hii syndrome kwa kifupi ni C C M S ! Hii syndrome bado haija patiwa dawa jamani ?Chukua Chako Mapema syndrome