Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume


Watafiti wa Brazil wabaini mtindo huu kwenye Tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume. Wanasayansi Nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi kwenye tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

wakimaliza utafiti wao ntaomba unishirikishe majibu yaliyopatikana mkuu love bird
 
Last edited by a moderator:
Hiyo staili inanifanye mpaka nione niko dunia nyingine kabisa wakati huo,huo utafiti warudie tena
 
duh,,, uume uvunjike.....kwani kijiti kile....wafanye upya huo utafiti.....

Is it possible to fracture your penis?

Answers from Erik P. Castle, M.D.

Yes. A penis fracture can occur when there is trauma to the erect penis.
During an erection, the penis is engorged with blood. If the penis is bent suddenly or forcefully while it's engorged, the trauma may rupture the lining of one of the two cylinders in the penis (corpus cavernosum) responsible for erections - resulting in a penis fracture. The trauma is usually related to aggressive or acrobatic sexual intercourse or, in some cases, aggressive masturbation.

A penis fracture is a painful injury that's often accompanied by an audible cracking sound, followed immediately by dark bruising of the penis due to blood escaping the cylinder. In some cases the tube that drains urine from the body (urethra) may be damaged as well, and blood may be visible at the urinary opening of the penis.


A penis fracture requires urgent medical attention. A penis fracture can usually be diagnosed with a physical exam, and prompt surgical repair is typically recommended. Left untreated, a penis fracture may result in deformity of the penis or the inability to have or maintain an erection (erectile dysfunction).

With
Erik P. Castle, M.D.

 
Basi kwenye boksa mngekuwa mnatisha.....

Waulize ambao wamewahi kuchungulia ndani ya "boxer" ya jamaa wa makabila tajwa wakupe shuhuda ya namna walivyojaaliwa "chombo /meli ya mgiriki" .
Ingawa kwenye boksa za ulingoni tuna waachia kina cheka na matumla.
 
Duuh... hii kitu ipo lakini mara chache sana tena, hasa kwenye aggresive sex.. moja kati ya cylindrical lining za penis ( (corpus cavernosum ) huweza kupata matatizo, some times huusisha urethra.. lakini pigeni kazi wakuu ili ndoa na mahusiano yadumu.
 
Back
Top Bottom