RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Sisi Mapadri hapa hatuna cha kuchangia, maana ni weupe sana!
Yaani umesema mwanamke anakuwa juu ya mwanaume! unaweza kutuonyesha picha jins inavyokuwa, dah yaani usilolijua ni kama usiku wa giza tororo!
Basi saizi muumini akija kuungama akisema amezini, nitamuuliza ulizini kwa mtindo upi! ningeiona picha ningejua nimwambie asali sara ya Baba Yetu mara 10, Salamu Maria x15, Amri za MUNGU X20, Kanuni ya Imani x30.
mwenye picha aweke jaamani nione