Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Yani comments humu za watu zinanichekesha sana
Nipishe huko pumbavu zako! Unaacha kufanya utafiti jinsi ya kupata Umeme kutoka mabaki ya miwa, unakazania raha zetu!
Labda huko kwenu kusiko na jando na unyago, huku kwetu hata mgonjwa wa tezi dume, igende ibwele!
Cc: mamaafacebook
Cc: ram
N ndo maana tunasema kuwa "kazi ya kuliwa ugangamale".
kkhaaaaaa
bora aisee kifo cha mende ndiyo mpango mzima
nimeishia kucheka next time watasema pia kugegedana hakufai sjui itakuaje tafitit zingine na kisanga
Mkuu Magobe amewaza nini kufikia hitimisho kwamba I'd hizi ni za mtu mmoja..
Yaani hawa jamaa hawa, hovyo kabisaaa
na ndipo hapo nami sijamsoma kabisa....
Ahasante kwa ufafanuzi mkuu... mie naomba walau uni alike supu ya kongoro nizid imarisha mashine yangu isije kutwa na janga tunalo jadili hapa.
Ahahaahahahahah mchagga wewe yako hela kifo chamende umekijuilia wapi
Ahahaahahahahah mchagga wewe yako hela kifo chamende umekijuilia wapi
Kuvunjika kwa mpini ndio mwanzo wa uhunzi?Hivi panya Road inaweza vunja mpini? Hizo nguvu zinazungumzwa za kuvunja? Zinavunja wapi sasaOhooo! Waache wahanga wa panya road wapumzike mkuu!
Aisee Napata shida sana kumuelewa huyu mtafiti!!ha ha huyo mtafiti lazima uume wake ulivunjia si bure ha ha wanaume mmesikia?
Sisi Mapadri hapa hatuna cha kuchangia, maana ni weupe sana!
Yaani umesema mwanamke anakuwa juu ya mwanaume! unaweza kutuonyesha picha jins inavyokuwa, dah yaani usilolijua ni kama usiku wa giza tororo!
Basi saizi muumini akija kuungama akisema amezini, nitamuuliza ulizini kwa mtindo upi! ningeiona picha ningejua nimwambie asali sara ya Baba Yetu mara 10, Salamu Maria x15, Amri za MUNGU X20, Kanuni ya Imani x30.
mwenye picha aweke jaamani nione
Jamani breki c ni P***bu sasa itavunjikaje
Watafiti wa Brazil wabaini mtindo huu kwenye Tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume. Wanasayansi Nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi kwenye tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.
Kwa mujibu wa Utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume (penile fracture).
Wanasayansi hao wanasema: Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na u
Weka Picha!