Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

Waulize ambao wamewahi kuchungulia ndani ya "boxer" ya jamaa wa makabila tajwa wakupe shuhuda ya namna walivyojaaliwa "chombo /meli ya mgiriki" .
Ingawa kwenye boksa za ulingoni tuna waachia kina cheka na matumla.

Ye si ameongelea nguvu......halafu mie nae wa uko uko but born here here
 
Yaaani "mashine ya mwanaume " inavunjika? labda awe mwanaume wa dar anaye amka na kula ubuyu, mchana anakula baga na piza na usiku anakula urojo na maji ya Uhai kisha ana lala.

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk........!!!!!!!!!, mkuu umenifurahisha sana sio siri
 
Hapo bado warudie au umewanukuu vibaya dushw ni Muscle (Splanchinic Muscle) huwa ni elastic material type kuvunjika Noooo nakataa labda kupasuka kwa blood vessels nawasilisha.
 
Watafiti wa Brazil wabaini mtindo huu kwenye Tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume. Wanasayansi Nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi kwenye tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa Utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume (penile fracture).

Wanasayansi hao wanasema: Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

“Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari.


source:Bongo 5

Mmmmm! Kazi Ipo. Lakini MGEGEDO Ukivunjika Si Wataweka Tu POP? Mimi Napenda Mno Shemeji Yako AKIUKALIA MGEGEDO Wangu Kwani Huwa Nausikia Hadi Ule Mfuko Wao Wa UZAZI Na Furaha Yangu Ni Mpake Niuguse guse!
 
Mkuu Magobe amefafanua vizuri sana.. Ngoja tuendelea na majadiliano kama kawaida..

Kweli kabisa mkuu baptist ....

Ye si ameongelea nguvu......halafu mie nae wa uko uko but born here here

haya mkuu ....nimeipenda hiyo ya "born here here" , ama kweli lugha ya malkia tamu sana hasa ukiitumia Tanzania

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk........!!!!!!!!!, mkuu umenifurahisha sana sio siri
Tuko pamoja sana mkuu namanyele
 
!
!
kwa hiyo sasa altenatively tufanyaje? vipi ulimi na wenyewe unapata madhara gani kama mtu ukiwa kwa uvungu? masikhara haya mtoa mada, mbona twatishana namna hii? aaah tafadhali bwana.
 
Nakwambia kila siku zinaibuka tafiti mpya

Nipishe huko pumbavu zako! Unaacha kufanya utafiti jinsi ya kupata Umeme kutoka mabaki ya miwa, unakazania raha zetu!
Labda huko kwenu kusiko na jando na unyago, huku kwetu hata mgonjwa wa tezi dume, igende ibwele!
Cc: mamaafacebook
Cc: ram
 
Last edited by a moderator:
!
!
kwa hiyo sasa altenatively tufanyaje? vipi ulimi na wenyewe unapata madhara gani kama mtu ukiwa kwa uvungu? masikhara haya mtoa mada, mbona twatishana namna hii? aaah tafadhali bwana.

Hhahah mkuu mbona umekuwa na wasi wasi sana aisee, huu ni utafiti ndo maana ikaelezwa hapo kwamba ukipendelea staili hiyo mara kwa mara kuna hatari ya kuvunjika uume..
 
Sio kweli kwa sababu uume ni mishipa na sio mifupa sasa itafunjikaje,anyway wanasayansi wanafanya tafit nyingi ila kwa hii wamechemsha wangetoa na edivence ya uume zilizovunjika kwa staili hii,mm nmetumia staili hii kwa dhaidi ya miaka kumi na saba na sijapatwa na haya......
 
Reverse cowgirl unaweza kuhonga hati ya nyumba ya ukoo wewe !!tafiti zingine bana...sijui watu wameshiba chakula gani
 
Kwa mujibu wa Utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume (penile fracture).
Labda kwa wanaume kama sisi ambao breakfast yetu ni magimbi na mihogo kishushio kikiwa uji wa ulezi; mchana tunafuata mihogo ya kuchoma pale mitaa ya kati! Lakini hawa jamaa wala chips mayai... thubutu! Huo ugumu wa kufanya hogo livunjike wautolee wapi wakati hogo lenyewe lina uwezo kupinda kama na kuwa kama upinde wa mshale...
 
Sponji ivunjike? hizi ni "kutafutana ubaya "sio tafiti jaman pana tundu pale sio kama sindano sasa sijui inavunjika vipi? sijaona mpini umewekewa muhogo (p. o.p )
 
dushe za uku afrika kuvunjika bado.. uko kwao ndo zwavunjikie..
 
Hadi kufikia ukuni uvunjike,,,, hapo lazima k itakua imeota meno
 
Back
Top Bottom