Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
bora aisee kifo cha mende ndiyo mpango mzima
kifo cha mende kwani we mbibi!???
bora aisee kifo cha mende ndiyo mpango mzima
kifo cha mende kwani we mbibi!???
Napenda sana hiyo style ya "COW GIRL" huo utafiti hauna uhalisia!
Kabisaaaa wa miko mingine nooo kbsaaaa....
Napenda sana hiyo style ya "COW GIRL" huo utafiti hauna uhalisia!
Sitaki Kuamini Hili.
hahaha mwishowe ukimaliza viungo vyote hoi sasa unajiuliza hile ni starehe au mazoezi.... aisee kifo cha mende its so mwaa romanticUneona eeeh, mambo ya kugeuzana geuzana utafikiri unachoma muhindi sio mpango kabisa.
Uneona eeeh, mambo ya kugeuzana geuzana utafikiri unachoma muhindi sio mpango kabisa.
Watafiti wa Brazil wabaini mtindo huu kwenye Tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume. Wanasayansi Nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi kwenye tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.
Kwa mujibu wa Utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume (penile fracture).
Wanasayansi hao wanasema: Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.
Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari.
source:Bongo 5
b naona umesoma kwa makini.. Kwani we huwa unakufaje? Kimbwa mbwa? Or?
bora aisee kifo cha mende ndiyo mpango mzima