Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,039
- 3,499
Ukweli mchungu huu...Jamaa ana roho mbaya na chuki, hawa ndiyo wale wanaoamini ufaulu wa darasani lazima uwe na maisha mazuri mtaani!!!!!!!!! Au ufaulu wa darasani lazima uendane na uongozi mzuri!!!!!!!!!!
Kauli zao sasa: Mimi nilipata divisheni one ,jamaa kilaza yule, haiwezekani yule afaulu, hawezi kuongoza yule, hawezi kuwa na hela yule!!!!
Ukweli mchungu: Hatuna wasomi ila tuna vipaji vya kukariri, mtaa hautaki kukariri!!!!!!!!!!!!!!!