Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

Jamaa ana roho mbaya na chuki, hawa ndiyo wale wanaoamini ufaulu wa darasani lazima uwe na maisha mazuri mtaani!!!!!!!!! Au ufaulu wa darasani lazima uendane na uongozi mzuri!!!!!!!!!!

Kauli zao sasa:
Mimi nilipata divisheni one ,jamaa kilaza yule, haiwezekani yule afaulu, hawezi kuongoza yule, hawezi kuwa na hela yule!!!!

Ukweli mchungu: Hatuna wasomi ila tuna vipaji vya kukariri, mtaa hautaki kukariri!!!!!!!!!!!!!!!
Ukweli mchungu huu...
 
Waacheni watoto wafaulu wakatafute Fulsa duniani.
Mambo ya kufelishana yamepitwa na wakati.
Nakumbuka mwaka flani kidato cha sita kalibu asilimia 70 waliferi somo la history kwa kupata F.
Hayo mambo hayana faida kwa dunia ya sasa.

Nchi za jirani zinafaulisha sana watoto wao na zinaonekana ni za wasomi wengi wakati elimu yao ni ya kueleweka na kufaulu.

Kwani nyie mliopata AAAAAAA hapo zamani Mnalisaidia nini Taifa kwa sasa wakati hata teethpeaks tunaziagiza China.

Mmeua mashirika yote ya Umma hadi leo mnaambiwa mmeshindwa kuendesha miradi yote na mnategemea kuendeshewa na majirani zenu wa hapo jirani Kenya na Rwanda.
Hii ni Fedheha kubwa sana.

Wache watoto wafaulu wajiunge japo na masomo ya VETA waje watujengee nyuma za kulala.

Napenda kulishukuru BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA. (NECTA) kwa haya mafanikio makubwa ya kuacha ukiritimba wa kufelisha watoto tunao walipia ada kwa shida na taabu tele.
Haka ka msemo ka toothpick zinaagizwa china kamekaa kinafiki sana.....Ruangwa huku maporini kuna kiwanda cha kutengeneza hizo toothpick
 
Eti swali

"In what ways water is important to the plant!!?"

"What should mamalian placenta formed immediately after implantation"(Lina marks nyingi hili)

"Oxygen taken through humna nose enter the lung and then transported to all part of the body. Describe three ways n which oxygen is transported in human body"(Lina marks nyingi hili)

Mtihani wa shule ya msingi huu.Sio form Six


Mtihani mrahisi sana hata Mimi wa niliyesoma HGE naufanya na sikosi B au A kabisa
Hahahah hilo la oxygen si tayari ushapewa jibu hapo 🤣
 
Back
Top Bottom