Nawalaani wabunge wote wa CCM ndio wametufikisha hapa,bungeni ndio wengi wanapitisha upuuzi!!Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?
Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.
Wakuu hiyo ni Composition ya Engilish Language
Mulugo kazini. Hapo tu ndo mtamtaka kizazi kipya mlugo. Hila ukweli ni kwamba hii nchi sasa inajidhalilisha. na ukute aliyetunga passege hii kalipwa hela lukuki.
Qn. 50. What year did Karume died?:faint:
Hivi nchi hii inakwenda wapi maana nimepitia somo la Hisabati na nimepatwa na bumbuwazi jinsi maswali yalivyokosewa mengine hayana kabisa majibu. Kwa mfano
Swali 13. Badili 13/16 kuwa desimali
A 1.1876. B 1.1875. C 1.1785. D 1.2885. E. 1.2875
Uliangalia sehumu waliyopewa wanafunzi haijafika kitu kizima sasa hapo jibu ni nini?
Mkuu nadahni hapo walimaanisha 1+3/16 na sio 13/16
Wakuu hiyo ni Composition ya Engilish Language
Tuna shida bado.AND jina la mtihani umesoma? TEST EXAMINATION STANDARD VII!!!!! Big results now!