Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

Dr F. Ndugulile;
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?

Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.

Sasa Hapo Ww Gambaz Hayo Maswali Unamuuliza Nani Ayajibu?


Unafiki Mbaya Sana Ww Dr..

kwann Kipindi Mbatia Anawasilisha Hoja Yake Hukuumuunga Mkono?


leo Unakuja Na Viswali Vyako Vya Kindergaten Hapa Kwenye Jamvi!

ww Unalalamika,

Marcopolo(jk) Analalamika,


Kawa-mbwa Analalamika,


Prof Mulugo Analalamika,


Wananchi Wanalalamika,


Walimu Wanalalamika,

way Forward Ni Nn?

BIG RESULTS NOW isGovt. NEW MOTTO,
Whenever POSITIVE or NEGATIVE what they want is the Big Outcome Now!
 
Hiyo page ya Tatu iliandikwa na Mluggo nini, badala ya kuandika IMPROVEMENT, wameandika IMPROVENT...! Au pc yangu ndiyo ina makengeza!

Haya ndiyo matokeo ya kujaza watoto wa mafisadi serikalini! Ukiona hivi ujuwe ni kila secta mambo ni hovyo hovyo hivi hivi!
 
Salam wakuu,naomba kuelimishwa kuhusu hii kitu Big result now ndio nini,nawasilisha.
 
Ni mpango wa kubadili maneno tu,haina tofauti na tumethubutu,tumeweza tunasonga mbele,,,,,,,
 
Kwa hiyo Wanafunzi wanatakiwa kujibu kwa kuangalia walichodhani kinakusudiwa au kwa kilichoandikwa kwanye karatasi ya mtihani?

Siwatetei aslani ila ni mtazamo wangu tu....ndio maana nikatumia neno "nadhani"
 
Wapo saw a hapo. Maana huo mtihani wanataka kuu test katika baadhi ya shule that's why UKAITWA TEST EXAM.
 
serikali inalalamika, viongozi wanalalamika ,wanaharakati wanalalamika ,kwa wananchi ndo kabisa wanatufanyia hivi kwa sababu watoto wao wanasoma nje!!
Nani wa kuikomboa elimu yetu?
 
Hakuna big results now ktk elimu,big results kwa kuwasaidia watoto kujibu mitihani ndio kitu gani hicho. Mwalimu mmoja afundishe chemistry wanafunzi 400 wa f5 na 6 then tunadanganyana kuna big results. Matokeo mazuri ni long plan na sio jambo la kukurupuka kisiasa. Utaanzishaje big results kwa kuiga bila maandalizi. Ngoja tusubiri
 
Hii big result now, inafaa kwa watu wasijua strategic management. Waacheni waendelee.
 
Wapo saw a hapo. Maana huo mtihani wanataka kuu test katika baadhi ya shule that's why UKAITWA TEST EXAM.

Katika Elimu Hakuna kitu kinaitwa "TEST EXAMINATION" acheni kupotosha umma.
Examination is administered to test smth. Unaweza kutumia neno moja tu ya Test au Exam na siyo yote kwa pamoja.

Kwenye medicine Test na Examination ni vitu tofauti.
Ila Kwenye Elimu matumizi ya test na Exam havitofautiani.
 
big result now=wape maks waliofeli ili wafaulu.!!!!!!!!!!!!!!!

Big result later = rekebisha mitaala , mishahara, miundombinu, mitihani ya majaribio.........


1trip of unga= billionaire !!!!!!!!big result.
 
Ninasikitika Juu ya Kauli mbiu hii iliyoibuliwa ili kuboresha Elimu, Hivi Waziri na ninyi wananchi hamjui kuwa ili kupata maziwa ya kutosha ni lazima Ng'ombe umushibishe? matokeo mazuri ya mtihani yanategemea mwanafunzi awe ameandaliwa vya kutosha na MWALIMU awe AMERIDHIKA ambaye ndiye anamuandaa huyo Mwanafunzi. Baada ya Kuona wanaibiwa sana TANESCO kwa mita za Kawaida waliibuka na LUKU (Lipia Umeme Kadri Unavyotumia) sasa walimu nao eti siku hizi wana FUKU (Fundisha Ueleweke Kadri Unavyolipwa). Bolesheni Maslahi ya walimu, Ajiri walimu wenye uwezo kwa maana ya Ufaulu, Elimu itapanda vinginevyo tusitegemee miujiza?

Nawasilisha wenu mtiifu.

mwalimu wa Awali. (BABU)
 
Jambo kuu la kujiuliza ni nini kinafanyika shuleni ili kupata hiyo Big Results Now. Maneno ni mengi kuliko matendo lakini tujue garbage in garbage out. Tusitegemee matokeo makubwa bila kuwa na mabadiliko makubwa katika elimu
 
We unahangaika nini nchi ishauzwa?nenda class mara mbili kwa mwezi then wait for the full salary!FULL STOP.
 
Acha ujinga wako kuna mtu alimulazimisha kwenda ualimu? si kwasababu ya kufeli kwako sekondari, leo unataka ulipwe mshahara mkubwa wakati hata kufundisha hujui.

Mbona enzi ya UPE wale walimu waliofundisha bila manung'uniko ndio wmetoa maprofesa bora? wanafunzi mnaowafundisha hata kuongea kiswahili hawajui . kama hutaki kazi acha kabebe mizigo sokoni
 
Mulugo jana alisema tusizungumzie Maslahi ila tuzungumzie kufaulu.Sijui kama alifikiria kama inawezekana kutenganisha vitu hivyo.
Big Result Now inasema walimu wafundishe muda wa ziada ili kidato cha nne wafaulu kwa ufaulu huo mwaka huu.Kwa mtazamo wangu naona kama kichekesho,hivi kwa walimu waliokata tamaa hata kufundisha vipindi vya kawaida unaweza sasa kuwashawishi wafundishe muda wa ziada?

Kwa mtazamo wangu, nahisi serikali haikufanya utafiti wa kutosha kujua kama hili linawezekana.
Mtazamo wangu BIG RESULT NOW kwa mwaka huu ilishashindikana kabla upande wa Elimu ilishashindikana.
Kuna jamaa yangu yupo Mbeya,alinichekesha kuwa eti Afisa Elimu wa Mkoa aliwaagiza wakuu wa shule wamlipe Shilingi 1000 kwa saa kwa kila mwalimu atakayefundisha muda wa ziada.Hiki ni kituko cha mwaka.
 
Acha ujinga wako kuna mtu alimulazimisha kwenda ualimu? si kwasababu ya kufeli kwako sekondari, leo unataka ulipwe mshahara mkubwa wakati hata kufundisha hujui.

Mbona enzi ya UPE wale walimu waliofundisha bila manung'uniko ndio wmetoa maprofesa bora? wanafunzi mnaowafundisha hata kuongea kiswahili hawajui . kama hutaki kazi acha kabebe mizigo sokoni
Kama wanafunzi wenyewe wana akili kama zako, hata walimu wangeambiwa wakeshe madarasani sidhani kama wataelewa.
Kama unaona walimu walifeli basi subiri uone moto wake.Unawafahamu walimu wa UPE au unaandika tu ili na wewe uonekane kuwa leo umechangia kwenye hoja hii?
Tumia akili yako.Ukishauriwa kuandika kitu, kabla ya kuandika,changanya na zako.
 
Back
Top Bottom