Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Kama wanafunzi wenyewe wana akili kama zako, hata walimu wangeambiwa wakeshe madarasani sidhani kama wataelewa.
Kama unaona walimu walifeli basi subiri uone moto wake.Unawafahamu walimu wa UPE au unaandika tu ili na wewe uonekane kuwa leo umechangia kwenye hoja hii?
Tumia akili yako.Ukishauriwa kuandika kitu, kabla ya kuandika,changanya na zako.
Ok mnachotaka kufanya ni kuongeza idadi ya wasio na akili ili watanzania wazidi kutawaliwa. Hwbu niambie mnataka kulipwa shilingi ngapi ili muone kuwa mnathaminiwa na muanze kufanya kazi.