...mitihani makazini, mwee!...

lol....king'asti....halafu dhambi hii inavyotafuna vibaya hata ukirudi kwa mumeo/mkeo huthubutu hata kumuhadithia yaliyokukumba huko!


mwj1 bana,....tatizo lako wewe upo kiseminari zaidi....
kuna malalamiko hata hapa jf watu wanasumbuana kwa pm, sembuse hizi
flirts zinazoendelea hapa...

sasa imagine hii jf ndio ingekuwa live event, tunakutana kwenye ukumbi watu tunapiga soga weee,...
jioni tunarudi kwa kina baba/mama chanja wetu...aiseee!


Mkuu tuko pamoja. Sijabisha lakini ukisoma deep post ya mtoa mada ni kauliza kama haliepukiki.
 


"....Baba/Mama nanihii kule ofisini kuna mdada/mkaka mmoja huwa anapenda sana kuflirt na mimi. Kama unijuavyo sina nia ya kukuumiza ila tu naomba unipe ruhusa ya kuendelea na hii shughuli yetu ya kuflirt." Hehehehe 🙂🙂

Mkuu FA unadhani hapa reaction ya mume/mke itakuwa chanya kweli!? Kutakuwa na maswali mengi sana ambayo mengine muhusika anaweza kabisa kushindwa kuyajibu na hivyo kuzua kasheshe mjengoni.
 

Dah!......
 
ila kwa kweli mambo yanayofanyika safarini yanakatisha tamaa kabisa

ila na baadhi akina mama wanaendekeza hiyo tabia
kwa kupenda dezo
kuna watu na nafasi zaolakini wanayofanya unabaki mdomo wazi

usitoe rum number yako kwa stranger, only kwa wanaokuhusu
 

Lahaula!......
 
Si ungetutolea kamfano hata kamoja?
 
Mbu unategwa? Kha!!! Watchout utanasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…