Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

Ngoja nisaidie mtoa mada kufanya watu wamwelewe.

Yaani anamaanisha kuwa mti huinyonya dunia (ardhi) katika ukuaji wake kwenda juu. Kama mti utakuwa na uzito wa tani 8 hivyo utakuwa umechukua tani nane ya udogo toka uliposimamia. Nikama jengo la tani 8 ili lijengwe litasababisha shimo kwa ajiri ya udongo huo wa tani nane ulipotoka. Sasa swali lake ni kuwa. Mti umechukua tani nane duniani ukazipandisha juu kama wajenzi wa majengo wafanyavyo. Je yale mashimo ya hiyo sehemu inayonyonywa na miti mbona hatuyaoni. Je mti hupata malighafi kutoka mbali na eneo ulipo kama majengo ya mjini yananyosombewa mchanga na magari toka mtoni ili yasimame hapo nyerere road?
Nashukuru sana mkuu.
 
Mkuu umeeleza vizuri sana..ww kama sio Mwalimu, basi ni Pastor!!
 
Sasa mbona unapotoka hatuoni shimo? Maana unatengeneza mzizi huko chini na kuinua shina kubwa huku juu. Tulitegemea ile ujazo
na hasa uzito wa shina, kuwe na shimo lenye ujazo/uzito kama huo chini pale.
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba unajaribu kufananisha ujazo/ukubwa wa shimo la mti mkubwa na kitu kilichojengwa na binadamu. Mti unatumia mizizi kuweza kusimama na hiyo mizizi inaota kwa kulala si kwa kwenda chini sana ni tofauti na jinsi binadamu tunavyojenga, sisi inabidi kuwe na shimo refu kwenda chini kuweka msingi wa kile tunachojenga. Mti ni kiumbe chenye mfumo unaoweza kutafuta njia bora zaidi ya kusimama ardhini. Kwa utafiti mdogo nilofanya mtandoni unaonyesha kwa miaka mingi wanasayansi wamekuwa wakichunguza miti ili kuweza kuelewa zaidi njia bora za kusafirisha maji na hata kusimamisha majengo. Natamani wataalamu wa Architecture na Civil Engineering wangetupia jicho hapa ili kuendeleza huu mjadala.

Unaweza kusoma:

SmartSelect_20221116-023837_Chrome.jpg
SmartSelect_20221116-023853_Chrome.jpg
 
Kumbe tunabishanaga na watoto humu...

Why Children Make the Best Philosophers​

Children are inherently philosophers. They want to understand the world, and constantly ask the question of "Why, Where, How, When , Who ?"

"No man should bring children into the world who is unwilling to persevere to the end in their nature and education."
Plato

Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakuwa kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?

View attachment 2417960View attachment 2417961View attachment 2417962View attachment 2417963View attachment 2417965
Miti ni viumbe hai tu kama ulivyo wewe (botany and zoology) sasa hujiulizi wewe unavyokua hizo nyama, damu, mifupa inayoongzeka mwilini kwako vinatoka wapi ?

Mti (mimea) Unaanzia kwenye surface kuelekea juu. Na Mizizi yake inakua kuelekea chini. Sema ndo kuna mimea ambayo shina linakua kwa rate kubwa kuliko mizizi wakati mingine ni vice versa
 
Sijuwi kama unamaanisha mti kama mti, au ni tafsida. Lakini kama unamaanisha mti wa kweli tunaoujua, ni kwamba una-absorb minerals kutoka ardhini na kuukuza, hivyo haina mahusiano na ulinganifu wa ukubwa wa mti na mahali ulipo/ulipotoka.
 
Mkuu kama umeishia Kidato cha nne swali lako halina maana kwani tayari ungekuwa na majibu.

Ili mti ukue utahitaji mambo Yafuatayo;
I. Udongo
2. Maji
3. mwanga

1. Udongo
Kidato cha nne Kama sio cha tatu kuna topic inaitwa "Soil" Kwa Kiswahili ndio huitwa UDONGO.
Udongo Una components/composition zake kama
i. Mwamba wa asili/mother rock/inorganic materials, hii ndio hutoa Madini/mineral kama madini ya chuma, calcium n.k lakini pia ndio ita-determine rangi ya udongo husika. Kama ni mweusi, mwekundu, au mweupe utatokana na Rangi ya mwamba wa asili
ii. Organic material (mimea na wanyama waliokufa kwenye udongo) hawa husaidia mmea kupata chakula kitamu chenye virutubisho vya ukuaji wa haraka.

iii. Water/ Maji haya hutumika kulainisha na kufanya decomposition ya mchakato wa utengenezaji wa udongo na chakula kwaaajilo ya mimea Kwa kushirikiana na Jotoridi(temperature) kusababisha chemical reaction

iv. Living Organisms/viumbe hai. Hapa kuna viumbe wadogo kabisa wanaoishi ndani ya udongo(macro and micro Organism)

V. Air/ hewa especially oxygen. Kwenye Udongo pia kuna hewa ya Oxygen na Carbon dioxide. Hewa ya Oxygen inasaidia wadudu wadogo waishio udongoni kupumua na kuwafanya waishi vizuri wakiwa udongo. Hewa na maji huingia udongoni kupitia soil space ambazo huitwa Soil pores (Soil porosity).
N.k
Udongo ndio chakula cha mti. Kwenye udongo kuna madini ambayo yanaumuhimu katika mmea kulingana na Aina ya mmea.
Kuna madini ya chuma, sulphate, nitrogen, calcium etc.

Kuna kitu kinaitwa Soil Formation. Yaani Kwa kimatumbi Kujitengeneza Kwa udongo.

Majibu ya swali Lako ndio yapo hapa.
Udongo unatabia ya kujizalisha/kujitengeneza kama ilivyo Kwa viumbe vingine. Ingawaje udongo bado haujatanabaishwa Kama kiumbe hai lakini unabaadhi ya tabia za viumbe hai kama kujizalisha (Reproduction/kuji-zalisha)

Soil formation ndio hufanya mtu hata uking"olewa usione uwiano wa chakula kilichotolewa udongoni kwenda kwenye mti na lile shimo lililobakia ardhini baada ya mti kung'olewa.
Hii ni Kwa sababu mtu unapokula virutubisho vya udongo, udongo nao unajizalisha.

Zingatia, ukuaji wa mimea na Miri kwenye mimea ni moja ya sababu inayopelekea uzalishaji na ukuaji wa udongo Kwa haraka na urahisi zaidi.

Hii ni tofauti na Maeneo yasiyo na Miti au mimea haya udongo haujizalishi Kwa haraka na ni rahisi kupata madhara kwani udongo unakuwa uchi. Kumbuka mimea na Miti ndio vazi la udongo.

Ili udongo usipate madhara ya weathering, mass wasting, soil erosion, basi itapasa mimea na Miti iwe juu yake kui-cover.

Kwa hiyo jibu la swali lako itakupasa uwe na Concepts kuhusu Udongo katika mambo haya;
i. Soil
ii. Soil composition
iii. Soil components
iv. Soil Formation
v. Soil profile

Ni Kama kwenye ngozi yako, ukiumia na kuchimbika, mwili unafanya mchakato wa kujitengeneza eneo Hilo Kurudi kama awali

Nafikiri Kwa kiasi kidogo utakuwa umepata majibu.
 
Daaah, mkuu uko vizuri kwenye soil chemistry. Umetusaidia na sisi wengine ambao hatukuelewa mambo hayo. Lakini nina swali kuhusu hapo uliposema udongo kujizalisha; tunaonaga mara nyingi mahali pengi panachimbwa udongo either kwa ajili ya kutengeneza barabara au vinginevyo. Sasa mbona maeneo yaliyotolewa udongo yanabaki hivyohivyo (no recovering) kwa miaka na miaka?
 
😂😂mkuu kwani ww unakua unatoka wapi? Yani unakula ugali zinaongezeka nyama how ?
Mti huchukua nutrients kutoka ardhin Kisha huchanganya na air na sunlight hapo panatokea chemical reaction ambayo huform kitu tofaut ndo zle nyama za mtu kama ulisoma chemia kidogo form 1 characteristics of compound hua difference characters na zile components zilizo unda izo tofaut hua kote chemical na physical ndio chumvi chumvi,maji na air and sun vinaform mbao kwa urahisi tuseme zile ni byproduct za mti Yani kama ww ukienda chooni vle
 
Daaah, mkuu uko vizuri kwenye soil chemistry. Umetusaidia na sisi wengine ambao hatukuelewa mambo hayo. Lakini nina swali kuhusu hapo uliposema udongo kujizalisha; tunaonaga mara nyingi mahali pengi panachimbwa udongo either kwa ajili ya kutengeneza barabara au vinginevyo. Sasa mbona maeneo yaliyotolewa udongo yanabaki hivyohivyo (no recovering) kwa miaka na miaka?

Hapo kuna mambo mawili.
Kuna udongo na Ardhi.

Udongo ni sehemu ya Ardhi, au tuseme Layer ya juu ya Ardhi.

Udongo unamatabaka yake "Soil Profiles"

Pia katika uzalishaji WA udongo "Soil Formation" kuna Stage of soil formations ambazo stage hizi zinaratibiwa na Factors za soil Formation.

Mambo haya ni muhimu katika utengenezaji/uzalishaji WA udongo
1. Nature of Rock / Mwamba asilia.
Hapa itategemea na eneo lililochimbwa ni Aina gani ya kwamba. Tunafahamu miamba ipo ya Aina nyingi lakini Aina kuu Kulingana na namna ya utokeaji wa miamba hiyo ni tatu, nazo ni Igneous rocks (miamba migumu ambayo pia ndio mama aliyezaa miamba mingine) miamba hii utokeaji wake unatokana na ujiuji uliopo kwenye tabaka la Kati la dunia(molten material from Mantle) ambayo ikitokea kwenye tabaka la nje la dunia(Crust) huitwa Magma au lava.
Metamorphic rocks, na Sedimentary Rock.

Kama eneo lililochimbwa kwamba wake ni mgumu itachukua muda mrefu Kwa udongo kuzalishwa. Maana kuna Michakato kama yA Weathering inatakiwa itokee kuuvunja vunja mwamba into small fragments/sediment ambayo hizo kokote baada ya muda nayo huvunjika huvunjika vunjika na kuwa small particles mpaka kufikia level ya udongo.

2. Tabia ya nchi (Climate conditions)

Tabia ya nchi ni moja ya mambo yanayopelekea uzalishaji WA udongo kuwa haraka au kudorora.
Ishu za Aina zote za precipitation ikiwemo Mvua, manyunyu,umande, ukungu, n.k Jotoridi (temperatures) upepo/Wind n.k
Ni moja ya factory zinazopelekea na kuathiri uzalishaji WA udongo Kwa haraka au polepole.

3. Altitude/ tambarare au mwinuko.
Eneo la lililochimbwa endapo lipo bondeni au kwenye tambarare ni rahisi ku-recovery Kwa muda mfupi ukilinganisha na eneo ambalo lipo kwenye mwinuko. Kutokana na factory mbalimbali Kama masuala ya Erosion/mmomonyoko na Accumulation (kutuama) Kwa vitu vilivyochukuliwa kwenye milima au miinuko mikali.

iii. Living organisms (uwepo wa viumbe hai) vyote/both Mimea na wanyama.
Eneo lililo na uhaba wa viumbe hai ni ngumu udongo wake ku-recovery.
Ukienda kuchimba msituni shimo ni rahisi shimo Hilo kujaa harakaharaka takataka iwe majani au vipande vya miti na magogo ambazo baadaye zita-decompose/decaying au kuoza na kuunda udongo
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba unajaribu kufananisha ujazo/ukubwa wa shimo la mti mkubwa na kitu kilichojengwa na binadamu. Mti unatumia mizizi kuweza kusimama na hiyo mizizi inaota kwa kulala si kwa kwenda chini sana ni tofauti na jinsi binadamu tunavyojenga, sisi inabidi kuwe na shimo refu kwenda chini kuweka msingi wa kile tunachojenga. Mti ni kiumbe chenye mfumo unaoweza kutafuta njia bora zaidi ya kusimama ardhini. Kwa utafiti mdogo nilofanya mtandoni unaonyesha kwa miaka mingi wanasayansi wamekuwa wakichunguza miti ili kuweza kuelewa zaidi njia bora za kusafirisha maji na hata kusimamisha majengo. Natamani wataalamu wa Architecture na Civil Engineering wangetupia jicho hapa ili kuendeleza huu mjadala.

Unaweza kusoma:

View attachment 2418100View attachment 2418101
Sawa mkuu. Sasa hiyo Trunk na Canopy vimetoka wapi? Kama vimetoka hapo chini maana yake materials sawa na hayo yametoka hapo chini. Sasa mbona hatuoni shimo hapo kuonyesha kuwa Trunk na canopy vimetoka hapo.
 
Kumbe tunabishanaga na watoto humu...

Why Children Make the Best Philosophers​

Children are inherently philosophers. They want to understand the world, and constantly ask the question of "Why, Where, How, When , Who ?"

"No man should bring children into the world who is unwilling to persevere to the end in their nature and education."
Plato

We na utu uzima unafahamu mti unatoka wapi? Hatuwezi jadili makubwa bila kumaliza haya madogo
 
Miti ni viumbe hai tu kama ulivyo wewe (botany and zoology) sasa hujiulizi wewe unavyokua hizo nyama, damu, mifupa inayoongzeka mwilini kwako vinatoka wapi ?

Mti (mimea) Unaanzia kwenye surface kuelekea juu. Na Mizizi yake inakua kuelekea chini. Sema ndo kuna mimea ambayo shina linakua kwa rate kubwa kuliko mizizi wakati mingine ni vice versa
Mi naona, kama kulikuwa na debe la unga na kilo ya nyama, naona havipo tena. Mbona sasa mti ulipoota hatuoni hicho?
 
Sijuwi kama unamaanisha mti kama mti, au ni tafsida. Lakini kama unamaanisha mti wa kweli tunaoujua, ni kwamba una-absorb minerals kutoka ardhini na kuukuza, hivyo haina mahusiano na ulinganifu wa ukubwa wa mti na mahali ulipo/ulipotoka.
Mti kama mti. Kama umetoa minerals hadi kuwa na kilo laki tano(dry mass) basi tutegemee minerals kilo laki tano zitoke ardhini, lazima kuwe na shimo. Kila laki tano ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom