Mitego ya wanawake

Labda nimkubali mimi kwanza, kiufupi mwanamke hawezi kubadilisha mawazo yangu juu yake, nikimkubali hata akinikataa ntaendelea kumkubali, nisipomwelewa hata akijibebishaje kwanza ndio atakuwa ananitia hasira

Mi mwanamke nikimuona tu mara ya kwanza hapo hapo tayari moyo unaweka tiki au kosa

Mwanamke nisipomkubali anaweza kuja ghetto uchi mi nikamwitishia Mwizi mwiziiiii!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu kugegeda ni asili ya mwanaume. Yaani ni sawa na samaki kumrushia majini ni lazima tu atafurahia na kuogelea.

Kikubwa kwa mwanaume ni kuwekwa kwenye malengo yake hapo ndipo mtihani ulipo. Hapa ndio dada zetu huishia kutuita mbwa tu.

Maana mwanaume hadi akuweke kwenye malengo yake ni jambo lingine hilo na ni gumu haswa.
 
We akijileta si unakagua na kuiwazia hapo kwenye sita. Kila uamkapo mzigo unataka ila sidhani kwa wao
 
Yaani sisi hatukuumbwa kutongozwa bablai hua tunaona hio ndo chance ya kufuta machungu ya msoto tunaopitia katika kuichakata pisi
 

Weee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwani wewe ukishitukia kibaka anakuwinda huwa unachomokaje asikupige roba? the same trick.
 
Wao wanatutaka kwa upendo ila sisi akili yetu inawazaga tule mbususu tu ndomana hatuchomoi
 
Nimewah kukatalia pisi mbili kipindi niko chuo. Ukisikia pisi pisi kweli mpaka nikiwaambia washkaji zangu hawaamini hata wao hawaamini kama niliwakatalia.

Kuna mmoja tulianza mazoea kipindi iko ndo tumeanza first year mpaka akasababisha nikaachana na manzi angu ambae huwa najuta kumpoteza baada ya kuchukizwa na ukaribu tuliokuwa nao maana ilikua too much.

To make it short, huyu dada alifanikiwa kulala kwangu zaidi ya mara 5 and we didi foreplay so many times but mashine iligoma kusimama sababu sikuwa na hisia nae.

Mwingine alikua rafiki wa manzi angu ambae nimewah kuleta uzi wake humu.
Huyu manzi kuna kipindi alipata sup namimi nilikua around chuo by then maana sikusafiri nilibaki kufanya field tukawa tunawasiliana before hajaja ukizingatia ni shem wangu akawa anadai akija nikampokee stendi nikakubali. Siku anakuja nilienda kumpokea akasema hana pakufikia anaomba afikie kwangu nikamkubalia.

Kiufupi,.. huyu dada alikua ni bonge moja la pisi lakini mashine iligoma kusimama licha ya mbinu zake zote maana nilishapata habari kuwa ana umeme na kweli nikiunganisha dots nikajua ni kweli ukizingatia nilishaponea chupuchupu kuukwaa huo ugonjwa hisia zangu zikastack kabisa and good enough siku zilzofuata aliingia period ndo ikawa ponapona yangu alvomaliza sup akaondoka.

Ila kusema kweli nilijutia maamuzi yangu



Huyo manzi wa pili alokua shem wangu nmefanikiwa kupita nae juzi. Saiv anauza ubuyu na anafanya delivery. Juz alipost ubuyu status nikamwambia aniletee akaja geto tukapiga show moja ya kibabe.
Saiv tunadate ila mguu mmoja ndani mwingine nje

Huyo wa kwanza kwakweli apana ni pisi kali kweli kweli na imetulia lakini inanuka mdomo na sijawah kuiambia na sjui naanzia wapi ila naitamani haswaa, now anakaa jirani na mkoa ninaokaa na inanipenda sana. Nipeni mbinu



PENYE MITI HAPANA WAJENZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…