Mitego ya mke wa Mchungaji nimeichoka!

Mitego ya mke wa Mchungaji nimeichoka!

Njoo tubadilishane nyumba ya kupanga... Wewe uhamie hapa ninapokaa na mie nihamie hapo unapokaa...
nataka Nyumba yenye sifa hizi,iwe barabarani,maji yawepo,Ac,geti iwe maeneo ya Mbezi beach kama inavigezo hivyo ni pm tubadilishane

Sijasoma yote ila To... Hizo doti zinawakilisha silabi au irabu moja, Sisi watumish wa Mungu tupo bize"Kamatia chini imeisha muda wake sasa acha maneno weka mziki"

Nimeajiriwa kwenye kampuni fulani hapa mjini. Jana alikuja mpenzi (mchumba) wangu kunitembelea ofisini kwangu. Alipofika alipokelewa na secretary na kumueleza kwamba anataka kuonana na bosi akimaanisha mimi kwakua anajua mimi ndio mkuu pale ofisini kutokana na majukumu niliyoachiwa na bosi kwani mara nyingi bosi huwa hafiki ofisini.

Sasa basi jana bosi alikuwepo ndipo akawa amelengeshwa direct kwa 'big boss'. Sijui bosi kavutiwa na nini, muda huo huo nilipigiwa simu ikitoka kwa bosi akisema "kuna mgeni wako anakuja, nimempenda ukinifanikishia nitakupa 1,2,3." Ni vitu vya thamani sana katika maisha ya binadamu ambavyo kila mtu anapenda avimiliki na kuonekana ni mtu katika watu.

Naombeni majibu ya huu mtihani. Mchumba nampenda na ninamuhitaji na nilivyoahidiwa navipenda na ninavihitaji. Nipeni idea nzuri si mnajua jamani mjini hapa.

Shukrani za dhati ziwafikieni wana Jf.

Mr Mgeni akaja na hii tena

Habari zenu wakuu,

Jamani huyu mchepuko wangu ni zaidi ya mcharuko. Kiukweli sikutegemea kama ataweza kwenda kwa mke wangu na kumwambia ampe hela ya matumizi kajitambulisha kama mke mwenzie, sababu nimemsusa wiki mbili sijampa hela ya matumizi na nilimblock that why simtaki. Nipo bar hapa napata za comfidentaly ili nikakabiliane vyema na my wife.

Sio mbaya mkiniongezea idea niweze kusolve issue.

Sipendi kupanga nyumba ya hivyo kushare no big no hayo ndio madhara. Sasa kodi mnalipaje kama vipi waambie wakulipe uwaachie nyumba ukapange kwingine
Privacy pia unakuwa huna, kama unapata mtu ambae hana maisha utakuwa unaishi nae maisha yako.

Nimeajiriwa kwenye kampuni fulani hapa mjini. Jana alikuja mpenzi (mchumba) wangu kunitembelea ofisini kwangu. Alipofika alipokelewa na secretary na kumueleza kwamba anataka kuonana na bosi akimaanisha mimi kwakua anajua mimi ndio mkuu pale ofisini kutokana na majukumu niliyoachiwa na bosi kwani mara nyingi bosi huwa hafiki ofisini.

Sasa basi jana bosi alikuwepo ndipo akawa amelengeshwa direct kwa 'big boss'. Sijui bosi kavutiwa na nini, muda huo huo nilipigiwa simu ikitoka kwa bosi akisema "kuna mgeni wako anakuja, nimempenda ukinifanikishia nitakupa 1,2,3." Ni vitu vya thamani sana katika maisha ya binadamu ambavyo kila mtu anapenda avimiliki na kuonekana ni mtu katika watu.

Naombeni majibu ya huu mtihani. Mchumba nampenda na ninamuhitaji na nilivyoahidiwa navipenda na ninavihitaji. Nipeni idea nzuri si mnajua jamani mjini hapa.

Shukrani za dhati ziwafikieni wana Jf.

Mr Mgeni akaja na hii tena

Habari zenu wakuu,

Jamani huyu mchepuko wangu ni zaidi ya mcharuko. Kiukweli sikutegemea kama ataweza kwenda kwa mke wangu na kumwambia ampe hela ya matumizi kajitambulisha kama mke mwenzie, sababu nimemsusa wiki mbili sijampa hela ya matumizi na nilimblock that why simtaki. Nipo bar hapa napata za comfidentaly ili nikakabiliane vyema na my wife.

Sio mbaya mkiniongezea idea niweze kusolve issue.

Habari za time hii wanajamii,

Kibarua changu kipo hatarini kuota mbawa, anayeniponza ni mke wa boss.
Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti kadogo alafu bado kabichi kabisa ni kabinti ambako saizi yake ni kijana mchapakazi kama mimi.

Nimeingia kwenye mtihani mzito mimi ni Dereva mara nyingi huwa namchukua na kumpeleka anapotaka tukiwa wawili tu mimi na yeye nguo anazovaa ni full mtego naona hadi pichu ya jana nyeupe, ya leo nyekundu namuheshimu kama boss story anazoniambia ndio zilezile ivi unamke? Mara unamtoto, mara nihamie kwake, tukiw

Issue ya kupanga nyumba familia mbili kisha sebule moja ni mtihani sana. Niliwahi kuchangia nyumba ya hivyo ikawa mke wa mpangaji mwenzangu kila usiku ukiingia anakuja room kwangu kuomba cd, lakini mumewe akiwepo anajidai hanijui. Uzalendo utakushinda tu siku moja. Mkanye huyo vinginevyo jiandae kushikwa ugoni

Habari wanaJF,

Kaka yangu na shemeji wana ndoa kabisa ya kisheria na kiserikali. Huyu my bro yupo mikononi mwa serikali yapata 7 miezi sasa.

Ishu ni shemeji kuvumilia hawezi na kaniweka wazi kanieleza yote ya moyoni kuwa anataka kutembea nami, sasa mimi nifanyeje jamani?

Hebu mpeni ushauri shemeji yangu afanye nini tofauti na kungonoka ili hamu zimuishe. Mimi bado sijampa jibu, naombeni majibu mazuri ili nikimueleza nieleweke.

Habari zenu wana JF,

Siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu .

Ndipo daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi na mimi nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mimi akasema samahani kaka siti za mbele huwa sizipendi huku anachekacheka.

Akaanza kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wapi,Maria leo fire foleni hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona niko kimya akasema kaka vipi mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa nani,unaishi wapi,we ni last born nini umepanga au unaishi kwa wazazi alafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.

Kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtusi matusi ya maana sijui hata yalipotoka hayo matusi aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habari ndani ya daladala.

Ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.

Kua busy acha kuongea nae Mara kwa Mara na wala usikae nae jirani au mkiwa peke yenu wewe na yeye.

Habari zenu wakuu,
Namuheshim sana mke wa mchungaji,huyu ni jirani yangu tumepanga Nyumba moja lakini mambo anayonifanyia hadi naona aibu,ndani ya Nyumba hii ina public toilet ndani,anapenda mno kushinda na kanga moja nyumbani hata chupi ni shida kuvaa siku moja tupo seblen wawili tu tunaangalia movie mara movie ile imeisha anae kuweka part 2 mara kanga imeanguka Haaa!!!kama alivyozaliwa aisee chaa ajabu hakusema hata samahani ndio kwanza kainama kaokota kaishikilia kwenye maziwa huku akisema movie hii ni nzuri sana Shemeji!bila hiyana nikajibu ndio ila taimalizia nikirudi kuna sehem naenda...aka x ,siku nyingine kanivamia bafuni nikiwa naoga naanajua kabisa kuna mtu bafuni,yote hayo na mengine mengi sijayasimulia.Tunaheshimiana sana na huyu brother mchungaji kama vile familia moja.Kuhama natamani ila nimelipia pango mwaka mzima ndo kwanza na miezi 2 kwenye hii Nyumba.Nipeni ushauri ila usinishauri kuhusu kufanya nae mapenzi.
Acha kuzalilisha mama mchungaji

b8d51d4d5534f90228287524ce066ae1.jpg

Mchezee wake za wachungaji hukohuko kwenu huku nilipo wachungaji ndio wanakuwa namna hii sasa leta mcgezo na mkewe

Back
Top Bottom