Mitego ya mke wa Mchungaji nimeichoka!

Mitego ya mke wa Mchungaji nimeichoka!

Unanua screen kubwa flat na huku unapanga.Akili zingine short sana.Kwa nini usianze mikakati ya ujenzi halafu baada ya kupata makazi yako ndio ukawaza mambo ya starehe.Umeyataka mwenyewe.Changa karata vyema kijana.Rudisha screen yako chumbani kwako,halafu kimbia kama Yusufu.Ikibidi tafuta chumba kingine.Usimuambia mawazo yako, mtakuwa maadui wa kudumu.
mm ni mpenzi wa mpira na ninapenda kuangalia na marafiki zangu so nikaamua kununua flat screen kubwa na Dstv nikaweka seating room tukawa tunaangalia wote kama familia
 
jamaa we noma sana, sio kwa thread hizi

upload_2017-1-29_19-37-56.png
 
Msaidie mama mchungaji... Labda baba mchungaji ana matatizo...
 
jifunze kitu hapa kijana si unaona wenye wake zao wanavyo komenti kwa hasira, na hakuna adhabu nyepesi anayopewa mtu anaetembea na mke wa mtu
 
Hawa mbuzi wanawachukulia wana-MMU ni mapimbi haiwezekani mtu aje na nyuzi zinakinzana kiasi hiki bila uoga na hayupo peke yake wapo wenzake wenye tabia hizi.
 
Hawa mbuzi wanawachukulia wana-MMU ni mapimbi haiwezekani mtu aje na nyuzi zinakinzana kiasi hiki bila uoga na hayupo peke yake wapo wenzake wenye tabia hizi.
Kweli mkuu
 
Mama mchungaji usikute hapati kitu nafsi inataka kutoka kwa babaa sasa wewe mwana kula kidogo usije ukakamatwa na mwenye mali akala salio.
 
Mimi najiuliza unatoka wapi kuangalia movies na mke wa Mchungaji tena wakati mwenyewe hayupo???
Kwanza inavyo onekana wewe ndiye unajipeleka kwake kwani umesema hapo...ukaaga ukaenda kutembea??
Acha hizo kama unataka movies azima ukaangalilie kwako. Wanaume hawaangalii Movies/TV kwa wake za watu wakati wenyewe hawapo...shauri yako!!!
Isije kuwa wewe ndiye unampa vishawishi halafu unamlaumu mama wa watu....
Jichunguze kwanza!!!!
Aisee kweli huyu inaweza kula kwake akifanya mchezo.
 
mm ni mpenzi wa mpira na ninapenda kuangalia na marafiki zangu so nikaamua kununua flat screen kubwa na Dstv nikaweka seating room tukawa tunaangalia wote kama familia
Hiyo TV umeiweka kwako au wapi
 
Back
Top Bottom