Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Hao airtel wenyewe wezi tuu unanunua vifurushi kwa airtel money wanakata hela na huduma hupati, bora zantel mara mia kuliko hiyo mitandao mitatu
 
Hao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kwenye ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku-afford hata siku moja.Mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.

Waziri wewe ndio una dhamana na hili, in this you are out brother, tegemea hata maandamano.

Urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.
 
Hao airtel wenyewe wezi tuu unanunua vifurushi kwa airtel money wanakata hela na huduma hupati, bora zantel mara mia kuliko hiyo mitandao mitatu

Nakuomba usiifanyie promo zantel. Ukifanya ivo watu wote watamiminika zantel na kuharibu myandao. Zantel ni rahisi kwasababu wanavuta wateja tuuu.
 
Nakumbuka kuna siku Chief-Mkwawa alisema haya yote yanafanywa na TCRA kwasababu mabadiliko hasa kwenye menu za mitandao yote yanaratibiwa na TCRA na yanatokea ndani ya siku moja kwa pamoja. Sasa kwa mb 8 utafanyia nin nazo?? Hawa TCRA wanataka nin kwa watanzania??
 
Last edited by a moderator:
Nahamia rasm airtel o zantel, wanaojua bundle za zantel plz ili nkichagua nisibadili tena.. maana mpaka sasa airtel ndo wananishawishi
Nunua vocha ya zantel ya mia5, piga *149*07# ujionee mwenyewe.., ni super! speed zao ni turbo charged!
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa watumiaji wa smartphone, tigo nao wamepunguza mb hadi mb8 kwa siku hii ni mara baada ya hapo jana voda kupunguza hadi mb8.
kweli Tigo haifai kwa kweli kwa mfano mimi nimezoea kununua kabang ya week kwa sh 3500 leo nimenunua vocha ya 3500 najaribu kununua nimekuta bei imepanda hadi 4999 ni hatari na unapewa 60 mb
 
Wanataka kuzifanya huduma za simu kuwa anasa kama miaka ile ya 1990 - 2000,

Inawezekana wanatafuta hela ya vitenge, kanga, kofia, tisheti na pilau!.
 
kweli Tigo haifai kwa kweli kwa mfano mimi nimezoea kununua kabang ya week kwa sh 3500 leo nimenunua vocha ya 3500 najaribu kununua nimekuta bei imepanda hadi 4999 ni hatari na unapewa 60 mb

Jiunge internet tupu...sh 3500 1GB
 
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb...
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
 
Nakuomba usiifanyie promo zantel. Ukifanya ivo watu wote watamiminika zantel na kuharibu myandao. Zantel ni rahisi kwasababu wanavuta wateja tuuu.

Sifanyi promo mkuu sema jamaa wapo cheap kwa sasa kwenye soko yapo internet yao haina speed...wakizungua nao tunapiga chini
 
Ni agizo maalumu toka CCM wameambiwa wakusanye hela zisaidie kwny uchaguzi mkuu ujao.

Wananchi tunaumizwa sana kwa mtindo huu.
 
Back
Top Bottom