Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
8MB kwa kiasi gani cha shilingi?
kuanzia sh 499 hadi sh 1000
8MB kwa kiasi gani cha shilingi?
8MB kwa kiasi gani cha shilingi?
Tatizo mitandao mingine kuna sehemu hawapo kabisa.Usipoteze mda hamia mtandao mwingine,mm nimeshaachana na vodacom!
Tulitakiwa tuishinikize serikali TTCL iweze kusimama na kuyazika kabisa haya makampuni ya kitapeli kama Voda. Inawezekana kabisa.Nahamia airtel aiseee huu wizi wa voda siuwezi
KWA MWEMDO HUU SOON NITAHAMIA AIRTELKwa sasa vifurushi vya voda kuanzia 500 mpaka 1000 vinatoa bando yenye mb8. katika hiki kipindi cha mitandao ya kijamii na ulimwengu wa internet kwa ujumla hamtutendei haki wateja wenu this is too much.
Imagine kipindi cha 100mb zilikua zinaisha ikaja 50 tukawa tuna bajeti ila kuanzia jana 8 mb mtatumia mtandao wenu wenyewe. mimi najitoa.
goodbye vodacom.
Kote ni hivyohivyo. Tuwatoe ccm madarakani mwaka huu, tutakaowaweka tuhakikishe wanaiwezesha TTCL ili tusiibiwe tena.R.i.p vodacom, r.i.p tigo…. Happy birthday airtel…
R.i.p vodacom, r.i.p tigo . Happy birthday airtel
Subiri kesho ipite ndo useme ivo.
bongo kazi mnayo... hizo bei za kijinga ni moja ya sababu Africa ndo wa mwisho kwenye kutumia internet... Someni networking mchakachue tu wenyewe msiwe na mawazo ya bundle.. 10K MB60 ni ujinga, sasa hizo 60MB mtu anafanyia nini? kwa siku nmezoea kupakua zaidi ya 20GB ukiniweka hapo si utaniua