Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Nasikitishwa kila kukicha kampuni hii ya simu za mikononi kuibia wateja wake , na kubadili vifurushi vyake vya muda wa maongezi na internet kila kukicha najua lengo ni kuwaibia watanzania tu, yaani hiinchi yetu imekuwa kama amna utawala (serikali) nasikitika sana kampuni kufanya vyovyote watakavyo mbona tigo na airtel wametulia sana , acheni wizi kama biashara mmeshidwa ondokeni!!
 
Soon navunja laini yao yaani. 500 dk 15 ,sms 250, mb 8. Nimerudia kuangalia mara kumi nimehisi macho yangu yana matatizo.
 
Mimi kwanza nimeibiwa vocha pili hivyo vifurushi vya net nimechoka , we mbunge wa bumbuli uko wapi, au unapata mgao unakuja killgolf?
 
Soon navunja laini yao yaani. 500 dk 15 ,sms 250, mb 8. Nimerudia kuangalia mara kumi nimehisi macho yangu yana matatizo.

Mkuu mimi nimerudia mara 5 nikidhani nakosea.

Huu ushenzi mkubwa. Na hakikika nawambia VODACOM huu ni upuuzi mkubwa. Hamuwezi tuibia hela kijinga namna hii.

Yani mmeungana na CCM kutufukarisha wa TZ.
 
Team Kulia Lia.. Mi huwa Siwalei hawa Watu natupa kule
 
Alafu january unataka tukule urais , mambo yenyewe ndio haya nadhani wewe utaki urais unataka urahisi, andika umekosa umeshidwa kuwabana hawa tcra akina nkoma ,na mungi
 
Hata mimi sijawaelewa kabisa mb 8 kwa hizi smartphone zetu si dakika tu imeisha jaman
 
Waondoke waende wapi?! We ndio uhame,hee, jinga kabisa.., hama!
pumbavu mmekosa vya kuiba washenzi kabisa nyie, fungeni kibiashara chenu tuachieni tigo airtell na sasa via tel inakuja , tunasema ondokeni jamani tumewachoka weziiii
 
nimetafuta cheka zogo pasi na mafanikio! nikahisi labda ni system haiko stable! ila kaa mkijua si voda pekee ila tz sio mahara salama kimaisha....hasa katika karne hii....vinginevyo tuchukue hatua maana kila mmoja anawaza mimi kwanza sio taifa kwanza!
 
Bado saa 1 nihamie airtel.
Nishanunua na vocha imeandikwa kabisa utakachopata.
 
Hawa wezi vodacom ili wajue ni kiasi gani tumechukia inabidi kwenda kwenye Facebook page yao na kuwalalamikia kwa sana. tukifanya hivyo zaidi watu mia na watu wengine wakaona malalamiko yetu nina imani watajirekebisha.
 
Kilichonikera leo voda toka asubuhi sijapata 3G ni 2G na yenyewe haiko makini dakika moja iko hewani ya pili imepotea.
 
Hawa wezi vodacom ili wajue ni kiasi gani tumechukia inabidi kwenda kwenye Facebook page yao na kuwalalamikia kwa sana. tukifanya hivyo zaidi watu mia na watu wengine wakaona malalamiko yetu nina imani watajirekebisha.

Mbona mwenyewe nimewahi kuwalalamikia sana kupitia page yao fb,juu ya hivyo vifurushi vyao,wanatoa majibu mepesi sana,wapuuzi kabisa hawa Voda
 
Kwa sasa vifurushi vya voda kuanzia 500 mpaka 1000 vinatoa bando yenye mb8. katika hiki kipindi cha mitandao ya kijamii na ulimwengu wa internet kwa ujumla hamtutendei haki wateja wenu this is too much.

Imagine kipindi cha 100mb zilikua zinaisha ikaja 50 tukawa tuna bajeti ila kuanzia jana 8 mb mtatumia mtandao wenu wenyewe. mimi najitoa.

goodbye vodacom.
 
Back
Top Bottom