Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Hamia airtel bana,saka kifurushi cha maana piga *148*88# kuna vifurushi vya Mungu wangu (OMG)

Airtel ndio wezi kabisa ,juzi nilinunua bundle la 2.5GB usiku halafu sikutumia internet then ausubuhi nikacheki mail ,bundle likakata, nikaona poa nikanunua tena 2.5GB nikacheki mail na fb na jf kidogo kesho yake asubuhi limekata sasa hivi na laini yenyewe nimeitupa
 
Pole ndugu yangu kwa kupoteza muda wako kumjadili Model ... Hawa wauza sura wanapenda sana kuonekana kwenye news ... deliverable SIFURI ..
hao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kweny ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku afford hata siku moja. mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.

waziri wewe ndo una dhamana na hili naona labda lowasa kaamua kukutoa kwenye ramani ya wagombea kirahisi hivi.

in this you are out brother tegemea hata maandamano. urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.
 
Jamani hii mitandao nishida sana,nimejiunga tigo bima nimeugua nimepeleka makaratasi ya hosptal ili nipate fidia yangu ya tigo bima pona wakakataa eti mpaka nilazwe ndo naweza rejeshewa gharama zangu.
Nimemindi kweli nikaamua nijiondoe mana nakatw kila mwezi alafu pesa yangu hainisahdii,wanadai nikijiondoa sitolipwa wala kurudishiwa michango yangu ya mwaka mzima,sasa nashindwa elewa hii inakuwaje niwachangie wao wapate pesa mimi nipate mashariti kwenye pesa yangu?
Mwenye uelewawa na utaratibu wa kujitoa na kurudishiwa michango yangu ya kila mwezi tafadhali.
 
Hao airtel wenyewe wezi tuu unanunua vifurushi kwa airtel money wanakata hela na huduma hupati, bora zantel mara mia kuliko hiyo mitandao mitatu

vifurushi zantel vikoje?
bora hawa wazenj labda ufisadi haujakomaa sana.

hamieni TTCL mtandao bora kabisa
 
Zaman airtel ilikuwa 2000unapata dk 60 na mb 150 lakin sasa hivi hawashikiki, alafu nikiacha hela kwenye simu ghafla inatoweka bila kujuwa wanaboa sana huyu makamba sound tu
 
R.i.p vodacom, r.i.p tigo…. Happy birthday airtel…

airtel watafanya soon, hiyo ndiyo tabia ya 'oligopolists'-a move by one giant oligopolist is followed by others.
 
Atafuatilia saa ngapi wakati alikuwa anaandika kitabu. Watoto wa viongozi wamezoea kufanyiwa kila kitu wao waje siku ya mwisho kusifiwa. Fuatilia wote utaona hata mitihani wanapewa na upendeleo mwingi usio na faida kwa taifa bali sifa za kujidanganya mbele ya jamii. Nyerere ni baadhi ya viongozi ambao hawakuwa na upendeleo kwa watoto wake, angalia akina Makongoro usingweza kujua baba yao ni rais tena aliyakaa madarakani muda mrefu. Hawa wengine sijui akina Kinje, riz1,fred EL wadhaifu watupu.
 
Jamani hii mitandao nishida sana,nimejiunga tigo bima nimeugua nimepeleka makaratasi ya hosptal ili nipate fidia yangu ya tigo bima pona wakakataa eti mpaka nilazwe ndo naweza rejeshewa gharama zangu.
Nimemindi kweli nikaamua nijiondoe mana nakatw kila mwezi alafu pesa yangu hainisahdii,wanadai nikijiondoa sitolipwa wala kurudishiwa michango yangu ya mwaka mzima,sasa nashindwa elewa hii inakuwaje niwachangie wao wapate pesa mimi nipate mashariti kwenye pesa yangu?
Mwenye uelewawa na utaratibu wa kujitoa na kurudishiwa michango yangu ya kila mwezi tafadhali.

pole sana. kwa utaratibu wa bima, kiendacho kwa mganga hakirudi.
 
This is a bunch of B.S from B.S company in a Bullshit country!
 
Naona hawa washenzi wamezoea kutuibia...

MB 100 hadi 8 ni punguzo la asilimia 80 (80%). Huu ni unyonyaji wa hali juu sana.
 
kweli Tigo haifai kwa kweli kwa mfano mimi nimezoea kununua kabang ya week kwa sh 3500 leo nimenunua vocha ya 3500 najaribu kununua nimekuta bei imepanda hadi 4999 ni hatari na unapewa 60 mb
Kwa hiyo bei mpya ni buku tano hiyo, sasa kwa buku tano unapata 60MB tu wakati tulikuwa tunapata 200 MB kwa Tshs 500 tu.
 
Safi shusheni mpaka 5mb ili umbeya umbeya wa kwenye magroup ya whatsapp yapungue. Hizo kelele zote mnazopiga internet yenyewe huwa mnatumia kwa matumizi ya kimbeya mbeya tu


Kweli wewe ni mwehu kweli...
 
Back
Top Bottom