Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Watatufanya tushindwe kuonekanika jukwaani hivi hivi
Please tuachieni zantel yetu ,tunachuruza ma data tu bila mushkeli msije tafadhali!Nakuomba usiifanyie promo zantel. Ukifanya ivo watu wote watamiminika zantel na kuharibu myandao. Zantel ni rahisi kwasababu wanavuta wateja tuuu.
Watatufanya tushindwe kuonekanika jukwaani hivi hivi
Tatizo tu hapa ni hali yetu ya kiuchumi tu na wametuzoesha hivyo na sie tukaji-adjust hivyo kulingana na ofa zao za unanunua kifurushi unapata dakika, sms na bundle vinginevyo unaweza ukanunua kifurushi cha internet na ukapata bundle za kutosha ukaepusha hata salio lako lisiliwe maana voda nao sms ya kifurushi inakuja baada ya bundle kuwa imeisha na salio kama ulikuwa nalo linakombwa ndio inakuja sms ya kifurushi kimeishaNakumbuka kuna siku Chief-Mkwawa alisema haya yote yanafanywa na TCRA kwasababu mabadiliko hasa kwenye menu za mitandao yote yanaratibiwa na TCRA na yanatokea ndani ya siku moja kwa pamoja. Sasa kwa mb 8 utafanyia nin nazo?? Hawa TCRA wanataka nin kwa watanzania??
Wewe huwezi kushindwa kuonekana humu kwani umeanza kuonekana humu kwa kutumia moderm na kifurushi cha 30,000 kwa mwezi sembu hizi CHEKAWatatufanya tushindwe kuonekanika jukwaani hivi hivi
tigo university offer.
kuanzia sh 499 hadi sh 1000
Hahahahah mimi mwenyewe nafanya kazi karibu na chuo. Buku jero najaza then nasahau wiki nzima
airtel watafanya soon, hiyo ndiyo tabia ya 'oligopolists'-a move by one giant oligopolist is followed by others.