Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,613
Best friend... mie nishabiki mkubwa wa makombora!!Wolper nae nasikia anatoaga panya huku harufu. Yule nae bonge nyanya??
Nilipishana na kimbaumbau kwenye daladala ananuka jasho mpaka nilitamani kutapika,kumbe sikukisikia peke Angu,kuna kaka anauliza kuna gari la taka huko nje?? Sio lazima use mwembamba au unene,maumbile ya binaadamu yanatoa jasho,hasa ykizingatia vyakula tunavyokula na Kazi tunazofanya.
So point yako ya umbile gani linatoa harufu Lisa[emoji135]
so usiwaze Wakili wenu nipo.