Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,690
Tufunge na kuomba kwa ajili yake, maana humu ndimo tunapunguzia stress zetu na inasaidia tusifanye maovu, MF mimi imenipunguzia sana uzururajiHahahaha kweli mkuu tujipe ma hope mana mkuu wa kaya alitaka kuwatuma malaika waizime anakazana kwenye maombi sana kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app