Nasikia wana maji mengi sana
Sasa hivi unanyoa upara tuKitu kimenishinda hiki, nilijaribu jaribu dreads nazo nikafyekelea mbali....
Na hilo komwe lako kweli ukoo utafurahiongeza ongezaaaa,iliyopo hapo na hii kichwa yangu ntafurahisha ukoo
Kwakweli ni upara tu..... Kusuka siwezi nimeshindwaSasa hivi unanyoa upara tu
uzuri wamelizoea coz nimezaliwa nalo halijatokea kwa kunyonyoka nywele.Na hilo komwe lako kweli ukoo utafurahi