Sisi wanawake tupewe maua yetu

Sisi wanawake tupewe maua yetu

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,225
Reaction score
9,916
YAani wanawake ni aibu kwa taifa. Tunaenda kutoa vitu vya muhimu kisa hamu ya mapenzi.
MJue tu hili unaenda kwa mpenzi wako mkifanya mapenzi hapo ni rahisi kutumia nyota yako na riziki yako.
Mf. Unalala na mtu hadi asubuhi mmekutana tu ukampenda .

Hujui usiku huo anahamisha nini ikifika alfajiri anakuamsha anakutoa usiku usiku asionekane kakumaliza .
Hata gesti wengine huwa wanauwawa kisa tamaa,na hamu ya kuliwa tu ovyoo.

Ukija kwa tamaa unaona mtu anagari nzuri,ni msafi ananukia unaanza tamaa unahangaika hadi akuone akija unaanza kumbebisha weeh mwisho gesti unapelekwa asubuhi kufika unapewa laki au laki mbili ,ila umeuza nyota yako kwa laki mbili au elfu hamsini.

Unashangaa mambo si mambo kumbe ulimpa mwenyewe .

WAnawake muwe na akili kwani ukiweka akilini kazi na pesa utapungukiwa na nini au tuseme huwezi kabisa olewa ukampa mumeo hiyo riziki kushinda unagawa na kila mtu unaishia kushangaa shanga mambo hayaendi.
Au unapataya. Misuko. Misuko. Isiyoeleweka

Good day .
 
1787594161144.gif
 
1000050132.jpg
 
Noted¡ mkuu
SweetyCandy post: 56709956 said:

Au unapataya.
 
Nisiku mingi tu nimeshajitambuaga mwaya na kuwa mwangalifu sana wala sitaki mwanaume tena labda anioe
Walikula kwanza wakasaza madam ,ndio baadae ukaja ukajitambua au anayekuja kuoa hapo ss anakuta kitu bikraaa??
1786305533815.jpg
 
Back
Top Bottom