Misuko ya kisasa kwa wanawake tuu

Misuko ya kisasa kwa wanawake tuu

Aaaaiiiiiii babu kumbe nawewe umependa hii,sasa badala yake hebu ni m-pesa mimi nna nywele blackberry kabisa 😌,coz nme screenshot kabisa kwa matumizi ya baadae.
Ni msuko mzuri sana Mjukuu

Ukisuka hivyo then mkawa na evening walk na Mkwe, lazima akushike kiuno muda wote mkiwa mnatembea ili kuongeza Ulinzi Kwa Vijana wa hovyo wasikusogelee🤗

Haya ukitoka Mjini utapitia bomani kwangu, utakuta nimekuwekea hiyo hela karibu na mtungi wa Maji

Nahisi nitakuwa nimeshalala Babu yako muda huo 😜
 
nipo ramadhan hapa njia panda nakuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom