Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,297 Jan 26, 2018 Thread starter #21
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Jan 26, 2018 #22 Saint Ivuga said: Mi ni msusi. Wadada wote nitafuteni nitawasuka bureeee Click to expand... Umeanza lini?
Saint Ivuga said: Mi ni msusi. Wadada wote nitafuteni nitawasuka bureeee Click to expand... Umeanza lini?
Mima white cute JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 740 Reaction score 1,305 Jan 26, 2018 #23 Huo wa aliyevaa sweta LA kijvu mm nimewahi kusuka mwaka 2017 mwaka Jana na sijui ulitoka mwaka gani. Hiyo mingine mizuri lakini kwa mm nilivyo mvivu kukaa chini kufinywa muda wote ipite mbali na mm kama zilivyonipiaga fashion ya za kimasai Maana kuna nywele hatavukiambiwa unasukwa bule haukubali hataaa
Huo wa aliyevaa sweta LA kijvu mm nimewahi kusuka mwaka 2017 mwaka Jana na sijui ulitoka mwaka gani. Hiyo mingine mizuri lakini kwa mm nilivyo mvivu kukaa chini kufinywa muda wote ipite mbali na mm kama zilivyonipiaga fashion ya za kimasai Maana kuna nywele hatavukiambiwa unasukwa bule haukubali hataaa
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Jan 26, 2018 #24 Inna said: Umeanza lini? Click to expand... Sipendi ujue sipendi kuharibiana dili za watu
babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 Jan 26, 2018 #25 Saint Ivuga said: Mi ni msusi. Wadada wote nitafuteni nitawasuka bureeee Click to expand...
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Jan 26, 2018 #26 kayaman said: Mimi mke wangu ananyoa and she looks so mmwaaa dizain ya Janet kagame Click to expand...
kayaman said: Mimi mke wangu ananyoa and she looks so mmwaaa dizain ya Janet kagame Click to expand...
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Jan 26, 2018 #27 Saint Ivuga said: Sipendi ujue sipendi kuharibiana dili za watu Click to expand... Kwendraaaaaaaa
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,436 Jan 26, 2018 #28 Mulhat Mpunga said: View attachment 684907 Click to expand... Kijana pambana na hali yako
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,767 Reaction score 17,800 Jan 26, 2018 #29 Mitindo bomba wenye nywele za kusukika sukeni mpendeze
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,297 Jan 26, 2018 Thread starter #30
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,297 Jan 26, 2018 Thread starter #31
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jan 26, 2018 #32 Wanawake na maendeleo.... Pendezeni tupate cha kufurahia vizuri vya kutazama Sakayo unaitwa huku
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Jan 26, 2018 #33 uzuri mmoja huwa mnazipenda wadada wenyewe, hakuna mwanaume anayeweza kuwapendea hizo katani.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,767 Jan 26, 2018 #34 Wenye nywele zenu mkapendeze mimi team weaves/wigs until further notice
agata edward JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 6,641 Reaction score 9,412 Jan 26, 2018 #35 emmyta said: Daah. Mitindo iko poa sana rafiki. Click to expand... Nilipie nisuke dadauππ
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,588 Jan 26, 2018 #36 agata edward said: Nilipie nisuke dadauππ Click to expand... Hahaaa. Tafuta msusi wa uhakika tu mdogo wangu halafu mie nakuja kulipa.
agata edward said: Nilipie nisuke dadauππ Click to expand... Hahaaa. Tafuta msusi wa uhakika tu mdogo wangu halafu mie nakuja kulipa.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Jan 26, 2018 #37 Asprin said: Wanawake na maendeleo.... Pendezeni tupate cha kufurahia vizuri vya kutazama Sakayo unaitwa huku Click to expand... Abeeee
Asprin said: Wanawake na maendeleo.... Pendezeni tupate cha kufurahia vizuri vya kutazama Sakayo unaitwa huku Click to expand... Abeeee
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jan 26, 2018 #38 Sakayo said: Abeeee Click to expand... Chagua msuko hapo nikupeleke saluni fasta!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Jan 26, 2018 #39 Asprin said: Chagua msuko hapo nikupeleke saluni fasta! Click to expand... Ewaaaaa Ndo maana nakupenda!
Asprin said: Chagua msuko hapo nikupeleke saluni fasta! Click to expand... Ewaaaaa Ndo maana nakupenda!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jan 26, 2018 #40 Sakayo said: Ewaaaaa Ndo maana nakupenda! Click to expand... Hakika hukukosea kunipenda...