Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,039
Hahahahahaha
Klorokwini wa ubani nimekusikiaaaa. .
Hofu ulonayo naomba ondoaaaa. . .
Wa kunichukua sijamwona, hata ukishindwa ntagoma!
Haki siwezi acha matamu unayonipatiaaa. . .
Nikukimbie kisa uchochoroni wamekuviziaaaa. . . pamoja wakakuchangiaa. . .
Bado wakunichukua sijamwona, wewe tu ndie shujaa!
Baba asema, taratibu mwana
Hofu yako nini, hadi umsikize Klorokwini
Chonde chonde, asije kuwa yule jini mapembe
Kama yule wa Ukenyenge