Mistari. . .

Mistari. . .

Mwenye kujua maana ya hii anambie:
Akili zako ni changa, mambo unayavuruga
Wala hujui kutwanga mpunga unaumwaga eeh!
Mambo ya Zenji hayo, lol
 
How Do You Want It..... 2Pac Shakur. Feat. Kci & Jojo

.....
" How do you want it,
How do you feel,
I'm coming out as a nigga in the cash game,
I'm living in the fast lane,
I'm For real ! ... "

duu huu mstari wa kimayai
 
Karibu kila wimbo una mistari inayokamata. . . naanza na Msumari - Mzee Yusuph.
Dedication kwa wale wapenzi wa taarab, wakiongozwa na NN.

Vipi tena?
Msumari huooo. . .
Msumari una nini?
Umewachoma!!
Moyoni machoni?
KOTE KOTEEEE

Kupendwa ndio huku. . . KUPENDWA KUHESHIMIWA!
--------------------------------------------
Sio awe zumbukuku. . .HUTAKI KUONA NJIA!
Asiyenipenda achimbe shimo ajifukie. . .
Anaenichukia anywe sumu ajiue! x2
Chuki, nichukie roho yangu niachie mwenyewe!
Chuki, nichukie roho yangu niachie mwenyewe!

Kama uzuri anao mtoto Shakhsia. .
Kama uzuri anao kitu bomba aminia! x2
Kazi kwenu nyie vimeo,mlotunzwa msotulia. . .

Bibi wewe tulizana, tena achana na mimi,
nakuona huna maana, na wala sikusakaami,
Hivyo unavyomuona yeye anakula nami.
sisi tumependezana, yaliyo mengi sisemi mimi.

Hili penzi wala si mzizi, fitina uongo acha
fanya yote hata uende kozi mimi kocha wa makocha*2

Kupendwa bahati yangu si mzizi kutumia asili, na jadi yangu wangu kumridhia,
Amependa umbo langu, nini kinachokukuna amependa umbo langu nini kinachokukuna.
Penzi ni siri yangu katu siktokuachia, mimi ninamfikisha anajisikia poa.


MWENYE WIMBO HUU JAMANI AURUSHE HAPA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom