Mistari. . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mistari. . .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lizzy, Dec 22, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Karibu kila wimbo una mistari inayokamata. . . naanza na Msumari - Mzee Yusuph.
  Dedication kwa wale wapenzi wa taarab, wakiongozwa na NN.

  Vipi tena?
  Msumari huooo. . .
  Msumari una nini?
  Umewachoma!!
  Moyoni machoni?
  KOTE KOTEEEE

  Kupendwa ndio huku. . . KUPENDWA KUHESHIMIWA!
  --------------------------------------------
  Sio awe zumbukuku. . .HUTAKI KUONA NJIA!
  Asiyenipenda achimbe shimo ajifukie. . .
  Anaenichukia anywe sumu ajiue! x2
  Chuki, nichukie roho yangu niachie mwenyewe!
  Chuki, nichukie roho yangu niachie mwenyewe!

  Kama uzuri anao mtoto Shakhsia. .
  Kama uzuri anao kitu bomba aminia! x2
  Kazi kwenu nyie vimeo,mlotunzwa msotulia. . .
   

  Attached Files:

 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Nimeenda kwenye njenje kidogo: Sauti ya Nyota waziri

  Gereee mama x4 wananionea gereeee....
  Watausaga mtama na kuula wenyeweeee....
  We mtu wa mia untaka elfu nne..x2
  Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka..x2
  Fahari eeeh ndio dawa ya mjinga...

  Wa rhumba cheeee! wa rhumba henyaaaa! Leta vitu.....
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Watu wanamake moneyyy! snitch unamake blah


  Kama ni kipaji amenipa Mungu
  Huwezi kuniloga kwa kuvunja vyunguu
  why, why, why,whyyyy you want to destroy my life


  Nikipata mimi umepata weweee
  Kumbuka nia safi hailogwi wanguuu
  why,why,why,whyyy you want to destroy my life

  Heshima lazima uilete kwanguuu
  sababu umetoka kwenye nyayo zanguu
  why,why,why,whyyyy you want to destroy my life

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ..... Now That We Found Love What We Gonna Do With It x 100

  Song? now we hav found lov ... orign version third world!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa swaafi sana Lizzy! Naona kidogo kidogo na wewe tunakuvuta kwenye fani.

  Hicho kibwagizo cha Mzee hunikosha sana.

   
 6. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  How Do You Want It..... 2Pac Shakur. Feat. Kci & Jojo

  .....
  " How do you want it,
  How do you feel,
  I'm coming out as a nigga in the cash game,
  I'm living in the fast lane,
  I'm For real ! ... "
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huo mstari wa Mzee Yussuf hujaukosea kweli?

  Usahihi wake ni

   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapo aliteleza kidogo but I cut her some slack coz she's a newbie.
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Naona masuala ya incentives :]
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Cheki nyonga zinavyonyongwa na kuzungushwa. Gaijin upo hapo?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hehehee mmmh kwa hali hiyo sipo naona!

  Na hicho kiduku kichwani! Khaaa
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahaa hata mi kimeniacha mdomo wazi!

  Ila Shilole ni wa ukweli. Manake sichoki kuiangalia hii video.
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Siku hizi nyimbo za hii ndo ze business. Hata JayDee alikuja na mtarimbo ulolala doro
   
 14. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hili jimbo hapo ni la hatari NN...umenigusaaaa!!

  Mtakoma wenye laana na yenu yalowachosheni,
  Madhali tunapendana tunalala nyie kesheni,
  [Mzee Yusuph]
  Kwetu sisi hamuwashi yenyewe nyota inawaka,
  Na tunazidi kuishi hamtopata mnalolitaka,
  Sie hamtutii moshi wala sehemu kirakaaaa,

  Jamaaani madege nayo mengi...kumbe hili nalo dege...
   
 15. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Ninayo hamu, kurudi nyumbani, nyumbani kwetu ambapo hatutatengana, hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi, wala hakuna vyandarua wala hakuna malaria kwetu ni pazuri, ni pazuri nakuusia, najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika hukooooo.
   
 16. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usijigambee eti akupendaa,

  Hujui akitoka ni nini afanyalo kwako,

  We wampenda,

  Katu Usiusemee Moyo Wa Mwenzi Wakouwoo.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nani katema hii mistari?
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kama sikosei ni mzembe Lady Jide
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Oooh halafu huyo Jide alivamia fani ya miduara na lile jimbo lake la mtarimbo.

  I think it flopped. She should just stick to bongofleva.
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Hata bongo fleva (as r n b and hiphop) anachemka tu, nazani anapata soko kwa ile staili yake ya kwaya zaidi
   
Loading...