Mistari. . .

Mistari. . .

Nyimbo nyingi za mchiriku zinaishia kitaa tu tabu sana kuzipata You tube , kwanza samtaimu inatungwa pale pale kwenye mic. Mchiriku wa kitaa youtube nimeuona mmoja tu , ule uliopigwa na ze finest na Uporoto, nishauweka sana hapa JF
Kwahiyo nikitaka niwatafute waniimbie ehhhh?
 
Kuna ule wimbo unaimba "Kama unaweza, panda ukazibe!Hata kwa ngazi ndefu (?panda kwa ngazi ndefu) "nao unahusu mtu kuziba riziki ya mwenzie.

Unaanza kutisha sasa Lizzy!

Nani kaimba huo?
 
Kwahiyo nikitaka niwatafute waniimbie ehhhh?

Uwatafute au unitafute? chukua hii moja basi

nambie nambie Lizzy akuzuzuwaeee
nishike bakora nichapane naee
akishanishinda utaketi naeee
akishanishinda utalala naeee
akishanishinda utazaa naeee

kama Aspirini sina ubaya naee
kama rejao sina ubaya naee
kama fainest nauwana naeee
kama nyani ngabu nauwa ujuee

leo mi nikifa sababu ni wewee
kama sikuzikwaa utajibu ujuee

hehehe simaliziii
 
​
T.I Verse ​
Young Jeezy Ft T.I - F.A.M.E

Lately, I been off and out of sight, seldom out of mind

Ay, getcha bidne' right, and stay the hell up out of mind
I'm out my mind, tryin' to fix it ‘fore I'm out of time
Don't worry 'bout me, God got me, bruh, I'm doin' fine
Another year in prison, promise this is it for me
Tryna make it through the storm, should be makin' history
No feelin' sorry for me, keep ya pity and ya sympathy
Good or bad, take it like a man, whatever meant for me
How I did it make ‘em hate my spirit, they wish they could kill it
And they'll take it however they can get it
Wanna see me fulla misery, walkin' wit' my head down
"Let's decapitate ‘im, then we'll see if he can wear his crown!"​
 
Uwatafute au unitafute? chukua hii moja basi

nambie nambie Lizzy akuzuzuwaeee
nishike bakora nichapane naee
akishanishinda utaketi naeee
akishanishinda utalala naeee
akishanishinda utazaa naeee

kama Aspirini sina ubaya naee
kama rejao sina ubaya naee
kama fainest nauwana naeee
kama nyani ngabu nauwa ujuee

leo mi nikifa sababu ni wewee
kama sikuzikwaa utajibu ujuee

hehehe simaliziii
Hahahaha!!! Jibaba siku hizi umekuwa MALENGA WETU
 
Si unajua The Finest nakuwaga dakitare
But mtaani, mi ni ordinary naturale
Si wa geti kali, boss mi mnare
Ndio maana tudame tunashindanga kerere
Wanataka mpango wa kando ati niwadare

​
Niko mdogo mdogo tu kwenye gare
Mmm, ha? Si usare
Nikisonga mbele wako pare pare
Pale pale? Eh, pare pare
Si tuko kwenye club tuna-party party
Parerezo yaani pare pare
Mnarusha mizuga tu pare pare

Bon'Eye jemedari mkare
Mistari generale kare
Generali tangu kale, kare
Kikundi serikale, yaani
Siri kali tangu kale, kare
Haijalishi kale gani kare
Kazi zote karekare, kare
Na katika ile hali kare
​
 
Looove that joint, Imma Boss!

That's a club banger!

Halafu kuna "I do" ya Young Jeezy feat. Jay Z and Andre 3000. Halafu naona 3 stacks anajiandaa kushusha kitu maana anafeature sana katika records za watu sasa. Hopefully another OutKast album is on the way.
 
Uwatafute au unitafute? chukua hii moja basi

nambie nambie Lizzy akuzuzuwaeee
nishike bakora nichapane naee
akishanishinda utaketi naeee
akishanishinda utalala naeee
akishanishinda utazaa naeee

kama Aspirini sina ubaya naee
kama rejao sina ubaya naee
kama fainest nauwana naeee
kama nyani ngabu nauwa ujuee

leo mi nikifa sababu ni wewee
kama sikuzikwaa utajibu ujuee

hehehe simaliziii
Hahahahahaha

Klorokwini wa ubani nimekusikiaaaa. .
Hofu ulonayo naomba ondoaaaa. . .
Wa kunichukua sijamwona, hata ukishindwa ntagoma!
Haki siwezi acha matamu unayonipatiaaa. . .
Nikukimbie kisa uchochoroni wamekuviziaaaa. . . pamoja wakakuchangiaa. . .
Bado wakunichukua sijamwona, wewe tu ndie shujaa!
 
Lil Wayne - Mirror

Look at me when Im talkin
to you
You looking at me but I’m
lookin through you
I see the blood in your eyes
I see the love in disguise
I see the pain hidden in your
pride
 
Si unajua The Finest nakuwaga dakitare
But mtaani, mi ni ordinary naturale
Si wa geti kali, boss mi mnare
Ndio maana tudame tunashindanga kerere
Wanataka mpango wa kando ati niwadare

​
Niko mdogo mdogo tu kwenye gare
Mmm, ha? Si usare
Nikisonga mbele wako pare pare
Pale pale? Eh, pare pare
Si tuko kwenye club tuna-party party
Parerezo yaani pare pare
Mnarusha mizuga tu pare pare

Bon'Eye jemedari mkare
Mistari generale kare
Generali tangu kale, kare
Kikundi serikale, yaani
Siri kali tangu kale, kare
Haijalishi kale gani kare
Kazi zote karekare, kare
Na katika ile hali kare
​


Mpaka leo hujampata mrembo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom