Mistari. . .

lizzy mi naomba niweke hivi vimstari.

If God doesn’t like the way I live,
let him tell me,
not you.
 
simkumbuki jina

ila nakumbuka taarabu nyingine

hakuna asiyejua haya nitakayosemaa talanta
chombo kusafiria hukaa mbele daimaaa ntalanta
ajali ikitokea nani ajibu lawamaa ntalanta
rubazi nategemea awe mbele sio nyumaa

Huyu bwana aliyeghani aitwa Ali Star ama?
 
hii ni mara ya pili unamwambia kloro juu yangu,ningependa kufahamu why kloro na sio The Finest,kiranga au Mwita?
why,why n why?

Okay, it's kind of a long (not that long) story. I don't think Kloro himself would want me to divulge too much about it. But that's not to say there is a whole lot of it or anything.
 
Tuli kitako nakaa, kwenye kigoda changu nang'aa
Uzee paso na busara, ni sawa na kunywa chang'aa
Nami sitaki kuwa pakacha, kama Ali wa kitaa

Naskiza kwa umakini, mnadi huyo Klorokwini
Amini nakuaminia, hata awe mchungu kama shubiri
Busara nimekujaza, hekima ziko pomoni
Hakika huwezi shindwa, Abadani asilani

Ngoja nikulainishe kwanza. . .
Baba nakukubali, kwa zako nyingi busara. .
Zilobeba wako utu, ukaheshimu hata fukara. . .
Mwanao nakuheshimu, nisije kuwa hasara. . .
Niseme nini mie, baba yangu namba wani!

Mahitaji ulinipatia, mpaka nikanawiri. .
Heshima ukanifunza, nijue nini sahihihi. . .
Shule ukanipeleka, nisijechanganya fasihi. . .
Niseme nini mie, baba yangu namba wani!

Macho nilojaaliwa, uso yapendezesha. . .
Hakika yanapendeza, mwenyewe ushanijulisha. . .
Ndo maana vijana watapa tapa, usumbufu bado kwisha. .
Baba mkubali mkwe, wazushi watapotea!

Najua wamekuchosha, vijana kunivizia. . .
Wengi wao wakukera, amani kukumalizia. . .
Visimu vyao vyasumbua, usiku ukisinzia. . .
Baba mkubali mkwe, wazushi watapotea!

Mkwe nlokuletea, hakika namtambua. . .
Kwa hali hata mali, tayari kumchambua. . .
Kwa mapenzi yake ya dhati, macho amenifumbua. . .
Baba naomba umpokee, mkweo Klorokwini!

Ikibidi umweke kitako, maswali umuulize. . .
Mwenyewe uhakikishe, wasiwasi umalize. . .
Hana hila nakwambia, mwenyewe jiridhishe. . .
Kisha umpokee mkweo, bintio nakuomba!
 
Dah! thats my baby gal, extra proud to have you saved in my heart.

I never knew what love meant until I found you and I mean only you.
 
Dah! thats my baby gal, extra proud to have you saved in my heart.

I never knew what love meant until I found you and I mean only you.
Umefuraaaaaaahi mwenyewe. . . . !
Ngoja tuone baba atasemaje!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom