Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

Unachagua kutumia lugha gani? Kiswahili Tafazari. Tuna mrima kilimanjaro na pili mrima uliopata nafasi namba tatu hii inaonyesha Mrima wa kilimanjaro upo juu kama huyu mrembo!,

Mshindi Miss Tanzania 2011 ni..
Namba tatu..Alexia Williums
Namba mbili..Trace sospeter
Na mshindi ni...Salha Israel

well nilitaka tracy sospeter number 22 ashinde,ila not too bad salha naye namkubali

ELTORO thanks kwa kutuwekea link nimejionea kila kitu na nimefurahi.....

Mbona walipochoma bar zeetu awakushusha bendera nusu mlingoti hawa ni wanafiki wakubwa

Hongera dada tutaonana soon...

1.jpg
300449_2426041617287_1438935688_2857616_1206115575_n.jpg

Miss TZ 2011 bibie Salha kwa kuwa umepatikana siku ya janga la taifa tunakuomba uende Z'bar kuwapa pole wafiwa na iwe assignment yako ya kwanza baada ya hapo nitaonana na Lundenga tuonane rasmi

sasa ndugu,ww uzalendo wako unaonesha kwa kukodolea hiyo miss vodacom kwenye tv? ina maana ungekuwa na ticket ungeenda pamoja na huzuni zako? naona kama huu uzi uko kiuchochezi zaidi,manake ningetegemea ungekua kwenye swala nzito kuwaombea ambao wako majini mungu awatunze na waokoaji wapate nguvu ya kuendelea kuwasaka!

na wasiwasi wako hasa ni nini? kuwa kuna uhusiano wa miss tz na hii ajali ama?

Haingii akilini kbs TAIFA LINA MSIBA WENGINE WANA SHOW UMISS,Unajua vodakom wamebadili nembo yao na kuweka ile ya EREEMASON.YA TONE LA DAMU?

Miss TZ 2011 bibie Salha kwa kuwa umepatikana siku ya janga la taifa tunakuomba uende Z'bar kuwapa pole wafiwa na iwe assignment yako ya kwanza baada ya hapo nitaonana na Lundenga tuonane rasmi

Mzee unataka peleka posa nini? Nakushauri uvae kipedeshee uwe unanukia mihela,nahsi ana kibarua cha kulipa fadhila.kwanza ndo aende zenji

Baada ya kutangazwa meli kuzama asubuhi, mbona CCM waliendelea na uzinduzi wa kampeni kule Igunga, TOT, akina Masanja na wengine mziki kwa kwenda mbele chama tawala wanakula bata mchana kweupe itakua Miss Tz Vodacom acheni unafiki, tusonge mbele kufa kufaana.

Back
Top Bottom