Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

sioni cha ajabu wacha wafanye 2 coz walikaa kimya kwa muda wa dk...................ka ndo hvo hta magwanda wangesimamisha shughuli za ufunguzi wa kampeni leo
 
LUNDENGA hana dini ni kafiri,cha ajabu siku akifariki utashangaa sheikh wa mkoa anaongoza swala ya jeneza!uislam unaharamisha matendo ya kuwaweka wanawake uchi lakini lundenga kaziba masikio na macho
 
LUNDENGA hana dini ni kafiri,cha ajabu siku akifariki utashangaa sheikh wa mkoa anaongoza swala ya jeneza!uislam unaharamisha matendo ya kuwaweka wanawake uchi lakini lundenga kaziba masikio na macho
<br />
<br />
Sishangai hilo kwani BAKWATA ITAMZIKA,
 
juliana anaimba wimbo wa NNE wasanii wa kibongo wamegoma n kuimba? Sielewi kunani hapa
 
Hivi mpaka sasa wameisha choma bar ngapi hao wa zenji?
Kwangu mimi huo msiba nikama wa kichina au kiarabu nahuzunika kwasababu tu ni binadamu wenzangu lakini sio kwasababu ni watanzania wenzangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom