Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Unazo pesa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Watu wanajitakia laana za bure mchana kweupe sasa hii tabia ya kutongoza maajuza imeanza lini au ndo kuzidiwa kwa usongo,nyegezi au ugonjwa wa akili?
.
.
Kuweni na huruma na bibi za watu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kiswahili kinakupiga chenga kimbwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaejua kiswahili vizuri Tafadhari naomba anitafasilie alicho andika dada faiza maana kiswahili kinanipiga chenga kidogi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
PUNGUZA WIVUMkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?
Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore
Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?
Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi, yaani hadi umri huo hujui kama mtongozo ni siri ya mtongozaji na anayetongozwa? Sasa hapa si kila kitu utakataa? tutolee upuuzi wako hapa, nadhani umeenda shule kusomea ujingaWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.