Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,776
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
 
Watu wanajitakia laana za bure mchana kweupe sasa hii tabia ya kutongoza maajuza imeanza lini au ndo kuzidiwa kwa usongo, nyegezi au ugonjwa wa akili?
.
.
Kuweni na huruma na bibi za watu jamani.
 
Back
Top Bottom