Hello cute!!!
banned!
Ni kweli sipendezwi kuona member wanalumbana kwaajili yangu yangu,ndio maana nasema nahisi kinyaa,kwani vip Kipipi kunatatizo mi kusema hivyo?
Hahahahaaa swetie unaanza uchokozi eeeh?
Vip mambo yako?
Sikupati maeneo....kwani aje?
Watu wengine huwa wana asili ya Gubu.... Ni kuwaignore tu... Utadhani wao wako perfect kwa kila kitu.....
hahahah...downtown JF servers.
Nasikia siku hizi ni majina tu ndo yanayoenda server ila watu wanabaki forumuni kama kawa!
Hebu nithibitishie uwepo wako kwa kumsalimia Remmy
Hata.mi joto likizidi ntamwomba Mod anipeleke huko chap
Ha ha haaa
Sie tumeachana mdomoni......moyoni kila mmoja anamjali mwenzie..
Angalia shauri yako....
Sisi mpaka death.
Kumbe ilikuwa salamuuu...!
Kweli mtiifu.
Teh! Fanyeni juhudi basi mkamilishe na vitendo.
Nishamsalimia!
Vitendo tuanfanya nyuma ya pazia.