Miss Chit Chat 2012


Kuna mahali popote ambapo nimekukosoa?
 
Last edited by a moderator:
hee hongera my cousin nami nasubiri kwa hamu kubwa kama mwaka huu naweza kushinda hilo taji unikabidhi manyanga hayo ila kinyanyiro ni kingi sijui kama nitashinda best? acha nikupe zawadi hii kiss mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Una akili sana wewe!
 
Last edited by a moderator:

charminglady,wewe ni mnafiki!
Umeanzisha uzi kushukuru wana CC,na unatambua fika kuwa ndugu Ruhazwe JR ndiye aliye ratibu mashindano haya,tena zawadi amezitoa katika kipindi kigumu kabisa!
Hata hivyo,hujaona sababu ya kumtaja kwenye uzi wako kumshukuru!
MUNGU hamfichi mnafiki.
Siku njema,ubarikiwe na Yesu.
 
Last edited by a moderator:

Thank you so much my cousin...
 
Habari wakubwa kwa wadogo!


Kwa niaba ya charminglady JF Miss Chit-chat 2012, napenda kuchukua fursa hii kuelekeza shukrani zangu za dhati kwa Mungu kwa kutuvusha mwaka 2012 na kuuona mwaka 2013 zaidi sana kwa kumuwezesha charminglady kuchukua taji la JF Miss Chit-chat 2012.
Zaidi napenda kuelekeza shukrani kwa mkuu Ruhazwe JR, kaka Mungu aendelee kukupa uzima na siha njema. Shukrani pia ziwaendee wale wote walitumia muda wao kupiga kura iwe kwa kutumia kompyuta au simu zao, napenda kuwa taarifu kuwa kura zenu hazikupotea bure.
Kiukweli ni ngumu kumshukuru mtu mmoja mmoja maana waliotoa "support" ni wengi mno, ila wengi wao walitokea Jukwaa la MMU, Siasa, Photo, Hoja Mchanganyiko na Chitchat.

Pili shukrani za pekee ziende kwa familia yangu ya Mr.watu8 na Mrs. measkron,watoto WiseLady, charminglady, sweetlady, beibe nasty na Davie S.M. Pia sina budi kumshukuru mkwe wangu C6 na marafikize Nicas Mtei na Erickb52.

Tatu kwa wadau ambao waliweza kufanikisha suala zima la udhamini na ufadhili ambao kwa asilimia kubwa umemwangukia mshindi wa taji hili, ambao nilikutana nao katika harakati za kampeni na ndugu hao kwa moyo mkunjufu wakaweza kutunisha kapu la zawadi, nao ni kaka yangu masopakyindi na mkuu Samaritan

watu8
Charminglady's Campaign Manager
 
Mkuu watu8, sidhani kama nastahili hiyo pongezi kiongozi ila nisisite kuonyesha shukurani za dhati kwa kuonyesha moyo wa kipekee wa kushukuru hata kwa hicho kiwango kidogo, ubarikiwe sana.

Pili, unaweza kama ni tukio dogo lakini kuna kitu unajifunza kupitia kuratibu hizo kampeni, kila uzoefu unaoupata unakua na faida kama sio sasa baadae.

Mwisho kabisa nitume hongera kwa Miss charminglady kwa kutwaa taji 2012 na mkuu Ruhazwe JR kwa kuratibu mchakato. Mungu akitujalia tutafanya vizuri zaidi wakati mwingine.

Mbarikiwe sana
 
Last edited by a moderator:

Asante sana daddy.... May God bless you abundantly...

Pokea nawe zawadi hiii....

 

Asante sana mkuu Samaritan.... Mungu akuzidishie pale ulipotoa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…