CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady,nasikitika kusema wewe na baadhi ya members wa Chit Chat hamjaonesha ukomavu wa utu katika shindano hili,hivyo kuwa Wanafiki wakubwa!
Ruhazwe JR alipata matatizo makubwa,na ninyi hamkutaka hata kumuelewa,na kuendelea kumshushia lawama,utafikiri ninyi si binadamu,na mmeweka mkataba na Mungu matatizo yasiwapate!
Huo si utu hata kidogo,na sidhani kama hizo zawadi ndizo ziliwafanya mkose utu kwa kiasi kile!
Mmekera sana aisee,na mumuombe radhi Ruhazwe JR kwa heshima mliyo mvunjia.
Shame on you!

Habari zenu wapendwa wanaChitChat??
Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za kwa Uongozi wa Jamii Forums kwani bila wao kutoa ushirikiano shindano hili lisingefanikiwa.
Kama muonavyo hiyo BADGE (gold membership) hapo pembeni yangu ndio zawadi mliyonitunuku pamoja na airtime.
Pili napenda kuishukuru familia yangu ya Chitchat ikiongozwa na my lovely daddy watu8 ambaye pia alikuwa kampeni manager wangu kwa ushirikiano wa hali na mali. Mama yangu mpendwa measkron na dada zangu wapendwa sweetlady, WiseLady, kaka yetu wa hiyari Davie S.M, cousins ladyfurahia pamoja na FirstLady.
Sijawasahau Chitchat friends ikiongozwa na Erickb52, shostito wa ukwenhe Elizabeth Dominick, Evelyn Salt wote hao niliowataja na ambao sijawataja ila walinipigia kura asanteni saaaana. Sina cha kuwalipa ila mbarikiwe saaana.
Sitakuwa na busara kuwasahau members wooote wa JF walio nje ya Chitchat kwani nina imani kubwa wao ndio waliofanikisha ushindi wangu.....
Nimesubiri sana nitangazwe rasmi ila naona bado nimeamua kujitangaza rasmi kuwa mie ndie natetea taji la MISS CHITCHAT kwa mwaka wa 2012....
Ng'wabeja gheteghete bhakima na bhagosha! Mulungu amsungulile lubango!
Yaani ungewataja kwa majina hao unaowaita wanafiki, ndio ningekuona wewe kidume....otherwise, hoja yako haina mashiko wala mantiki.

Hongera sana shosti, ukipewa ile mihela usinikose vocha ya MB please. ZANTEL sawa mama.
charminglady,nasikitika kusema wewe na baadhi ya members wa Chit Chat hamjaonesha ukomavu wa utu katika shindano hili,hivyo kuwa Wanafiki wakubwa!
Ruhazwe JR alipata matatizo makubwa,na ninyi hamkutaka hata kumuelewa,na kuendelea kumshushia lawama,utafikiri ninyi si binadamu,na mmeweka mkataba na Mungu matatizo yasiwapate!
Huo si utu hata kidogo,na sidhani kama hizo zawadi ndizo ziliwafanya mkose utu kwa kiasi kile!
Mmekera sana aisee,na mumuombe radhi Ruhazwe JR kwa heshima mliyo mvunjia.
Shame on you!
Charminglady: umepoteza hapo kwenye red. Kumbe na ww ni wale mnaokula kitoweo flani kwa macho. Yeton
Wapendwa katika bwana,msigombane kwaajili yangu.sijisikii sawa kabisa kuona malumbano juu yangu,ingawa natambua hisia za ndani ya moyo wa charminglady hadi kutopelekea kutambua ufanikishaji wangu katika thread yake.lakini pia natambua hisi za ndani ya moyo wa Free Thinker hadi kumpelekea kuyatamka hayo ndani ya uzi huu.all in all nawasihi sana MSIGOMBANE

mkuu Nicas Mtei wewe ni friend wangu kule upande mwingine(fb),uliwahi kuniuliza swali hili?,nadhani ni vema ungeniuliza direct mimi kuliko kuja kumuuliza mtu mwingineHebu tuambie hayo matatizo makubwa aliyopata.