Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

Makinda anahaki kuwapigania wabunge kuongezwa mishahara yao,kama jkiongozi wao,Bunge sio serikali,wabunge siku zote wamepiga kelele kuongezwa kwa mishahara ya wafanyakazia wakul;aumiwa ni serikali sio mama makinda,she is right kwa alilofanya
 
Huyu anataka kutoengezea hasira tu , cha muhimu ni kunyamaza tuwasubiri 2015 tukiwa mifupa mitupu.
 
Sio wabunge tu hata watumishi wa serikali punguza ubinafsi

Tatizo si utofauti uliopo kati ya Mishahara ya Wabunge wa Tanzania , Kenya na Uganda. Taizo ni hali ya Uchumi wa nchi ya Tanzania huwezi kulinganisha na uchumi wa nchi ya Kenya, wenzetu wameendelea kiuchumi, tusiwaige.
 
Angalia na kipato cha nchi husika Kenya hawaishi kwa misaada wanategemea uchumi wao pekee, sio omba omba!!! Wewe uchumi wako ni omba omba unajipandisha mishahara fedha zitatoka wapi, mishahara ya wananchi wako ikoje????????
Tuliza kichwa fikiri vizuri, acha ushabiki!!!!!!!!!!


we unadhani wafanyakazi wa kenya wameridhika? mbona madaktari wapo mtaani hadi sasa?
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.


My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Kwa maana hio unataka kila wakifanyacho Kenya basi na wewe uige? Wakiruhusu elimu ya ushoga mashuleni na wewe unataka Tanaznia wawaige?
Uchumi wa Kenya uko juu kwa sana kuliko bongo.
Fikiria na tafakari kabla hujatutimulia pumba zako
Ya watanzania ni kwa manufaa ya watanzania na sio kujilinganisha na wengine
 
Mkuu naomba ujipange upya kwanini kutuletea ulinganifu kwa mishahara ya wabunge tu vipi kuhusu wafanyakazi wengine, wakulima nao kwao maisha hayajapanda gharama, halafu kipindi mheshimiwa wetu aliwaambia wafanyakazi hata wakiandamana mwezi mzima hela ya kuwaongezea haipo vipi hiyo ya wabunge yenyewe ipo tu
 
Mkuu naomba ujipange upya kwanini kutuletea ulinganifu kwa mishahara ya wabunge tu vipi kuhusu wafanyakazi wengine, wakulima nao kwao maisha hayajapanda gharama, halafu kipindi kile mheshimiwa Rais wetu si aliwaambia wafanyakazi hata wakiandamana mwezi mzima hela ya kuwaongezea haipo vipi hiyo ya wabunge yenyewe ipo tu
 
Kenya wanajitegemea kwa asilimia mia moja kwenye bajeti yao hivyo kufananisha kenya na Tanzania sio sahihi hata kidogo
 
Ng‘wanza
There is no way you can say that MPs salaries is justified in African particularly EA countries. Kenyan MPs added their salaries to the most paid PMs in the world last year. Ugandans r on the same swim. MPs are hiking their salaries to be the most paid workers in alk EA countries. With Kenyans giv u my word only less than a quarter of them will return to perliament for such criminal act to the public. Kenyans r already out of that mess in the new constitution bcz their will b an independent salary commision n for sure those salaries will be dropped n infact they are paying taxes now.
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.


My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Boss you will only justify Tanzanianz MP's to be paid as Kenya's if their economy run on the same ground...kenya are far advanced than tanzanianz you cannot pay your MP's that much while the economy doesnot allow that..
 
Sasa kama wengine wamefanya ujinga lazima na sisi tufuate huo ujinga? Kwa nini unalinganisha mishahara ya wabunge wetu na nchi nyingine, Kwani wanalipwa kutokana na kodi za wakenya na waganda? Kwa nini usilinganisha mishahara ya wabunge wetu dhidi ya wafanyakazi wengine hapa nchini?
 
kenya wana ndege ngapi sisi je,,mauwa na tanzanite zetu wao ndio wanaoziuza duniani,uganda wanauza kahawa yetu mchele mahindi wanayapeleka sudani,wabunge wao ndio wanajadili maendeleo .wa kwetu wanauza arthi na mazao yake kama sio wao wabunge ambao ndio mawaziri inakuwaje yote hayo yafanyike wao wawe kimya?
ni mahesabu tu ukitoka kenya au uganda ukiaenda tz ukanunua almasi au dhahabu kwa shiling 1000 kwa oz ukauza marekani kwa us dollar $1,920 kwanini wasilipwe hata million 100 wabunge kenya akili nyingi za maana
 
Hivi ng'wanza madaso kesho Kenya au Uganda wakiamua kuwalipa wabunge wao million 50 mshara basi nasisi Tanzania tufanye hivyo?huo ni ujinga tena ni upofu wa fikra,kwa hiyo kwa kuwa Uingereza wamepitisha ushoga nasi tukubali,ngw'anza madaso acha kushawishi watu waone ni jambo la kawaida,hivi unajua maslahi ya wafanya kazi wengine?unajua daktari (MD) analipwa bei gani,una jua mwalimu ambae ni graduate analipwa bei gani je unajua kipato cha watanzania wengine kwa nafasi zao na aina ya shughuli wanazojishughulisha nazo kikoje,je kuna mazingira rafiki kuwawezesha kupata kipato chao?hivi wabunge wa Tanzania kuna kitu gani huko majimboni wanachokifanya?tena siku nyingine usirudie kuleta upuuzi kama huu,siko tayari kuhalalisha wizi wa mchana na fedha zenyewe zinaenda kutimika kwa anasa tu.hakuna kitu kina chofanywa na wabunge wa Tanzania huko majimboni,na hata kule mjengoni hakuna kitu,hatuwezi kukubali watu walipwe pesa nyingi kwa kugonga meza na kuitikia ndioooooo kisha analipwa laki 2.Tafakari vizuri usiwe unakurupuka ndugu yangu
 
Weka na mishahara ya madaktari,walimu,halafu useme hao wabonge ni dunia gani wanayoishi
 
Hawa wezi huwa wanalinganisha tu yale yanayotunisha matumbo yao! Mbona hamjasema mchakato wa katiba uwe huru kama kenya na usihodhiwe na serikali?! Mbona hamjasema wabunge na watumishi wote wa umma wasitumie magari ya anasa kama ilivyo kwa baadhi ya nchi? Yaani nyie yale ambayo yangeifaidisha nchi hii hamyataki, yanayoidhoofisha mnayang'ang'ania... Wallah ningekuwa rubani wa kijeshi ningelipiga mabomu hilo jengo la bunge mkiwemo ninyi vibaka wakubwa...
 
when things become worse, anything is possible. Do we need to rise ?, does politicians fail to bring things in balance?
always when this happen, alternatively every citizen is responsible to rise for change. Not politician who are on positive side of life.
Thinking outside the BOX, remember revolution era,
 
Back
Top Bottom