Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

ni kiburi kisicho na mfano!juzi juzi tu kulikuwa na mjadala wa kufuta posho za wabunge leo hii zinapandishwa mara 3 kama sio dhihaka ni nini?
 
Leo Madaktari wa Kenyatta Hospital wamegoma na kuandamana sababu ni mishahara, rudi ukaangalie wanalalamika nini na wanalipwa nini ndipo uje na hii Post yako
 
Analysis ya namna hii ni mbunge au mbunge wa magamba? Shida tupu na nchi hii haitasonga mbele!
 
uganda: 19,000,000 million ugsh (12,512,184.99 tzs),190 million shillings (125,552,859.19 tzs) per mp to purchase cars

kenya:
below is a kenyan mps total salary per month

basic salary = sh. 395,000
a minimum commuted mileage = sh. 75,000

entertainment allowance = sh. 60,000
extraneous allowance = sh. 30,000

house allowance = sh. 70,000

monthly car maintenance allowance = sh. 247,000.

gym membership allowance = sh. 2,000.
vehicle fixed cost allowance = sh. 336,000
committee meeting allowance = sh. 40,000

constituency allowance = sh. 50,000
total tax free = sh. 1,305,000 (23,819,188.69 tzs)

tanzania:
7 million per month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 million shilling per mp to purchase car.daily sitting allowance of tsh70,000 and per diem of tsh55,000.

my take:
kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa tanzania,kenya na uganda na ni tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

wewe unaumwa sawa na mama yako makinda aliedai dodoma hakuna gesti itozayo chini ya laki moja. Wabunge wanalala gesti iko karibu na bunge ukivuka cbe ni 30000, hotel nyingi zina chumba safi self na kina chumba cha kuongelea wageni waliokutembelea haizidi 60,000. Hiyo gesti anayoongelea makinda ni vile vyumba vya st. Gasper ama ana maanisha nini?

Na kama wabunge wamepandishiwa posho kwa maisha dodoma kuwa juu je watumishi kama walimu, madaktari, askari na manesi wao ugumu huu unawapitia wapi?

Kama huna chakujitetea kwa uporaji kupitia posho usidanganye watanzania.

Na wewe unaeomba wapandishiwe posho unaumwa zaidi kwakuwa hapa kwetu kila idara ni uporaji mtupu nanyi mmeona mpore kupitia posho
 
Kakurupuka jtulishalijadili hapa MM aliileta hii mada hapa, ukiangalia gap ya kipato cha watumishi wa umma hasa walimu na wabunge katika hizo nchi
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

kaka unafananisha mawe na machungwa kwa sababu kiuchumi kenya, uganda na TZ ni tofauti sana kabla ujafanisha nchi angalia vigezo vifuatavyo vitakusaidia kujenga hoja yako.ktk list sitoweka uganda kwa sababu ni nchi maskini sana na ina wati wachache.

Kenya Tanzania
Population. 17mil 40mil
GDP 66B 65B
Budget 7B 13B
Export $5B $3B

Ukiangalia vizuri utaona kiuchumi kenya iko mbali kuliko TZ na budget ya kenya ni karibu asilimia mia hela zinatoka mfukoni mwao ukilinganisha na Tanzania ambayo pesa za budget karibu asilimia 40 zinatoka nje na hizo posho za wabunge zilizoongezwa pesa
itabidi tukakope ili kuwapa waheshimiwa hawa kwahiyo ukiangalia kimtazamo wa kiuchumi TZ ilibidi ikipunguze posho za kuwapa
wabunge ili kuweza kuwapa nafuu watanzania ya mzigo wa madeni. ukiangalia pia kwa upande wa resources Tz ina resources nyingi sana kuliko kenya swali la kujiuliza ni kwanini Tz iko nyuma kiuchumi kuliko Kenya. wabunge na hata mawaziri mara nyingi wamekuw wakifanya makosa makubwa ya kulinganisha kenya na tanzania kwenye vigezo vya uchumi hilo ni kosa kubwa kwani kwa upande wa natural resources Tanzania inabidi ilinganishwe na nchi kama Cameron na zinginezo amabpo Tz ukizilinganisha na nchi inaonekana maskini zaidi. kitendo cha Tanzania kujilinganisha na kenya ni sawa na mtu mwenye heka 10 kulinganisha mazao na mtu mwenye heka moja its nonsense.
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

MPs are to receive a pay rise of 2.33% from 1 April, bringing their annual salary to about £64,766. source: BBC NEWS | UK | UK Politics | MPs awarded 2.33% salary increase

uki convert £64766 to hela ya madafu unapata 166,366,546.93. Hiyo ni kwa mwaka...

from great to bogus thinker...
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Source, please!
 
Mkuu kama umefikia uamuzi wakutufananisha na kenya ambao uchumi wao uko juu hivyo, unaonyesha dhahiri kuna upumbavu unataka kukumbatia hapa au umetumwa na bi kiroboto aka nafasi ya pekee aka spika
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Wewe waweza kuwa mtu wa karibu au miongoni wa hao wabunge wabinafsi, wajinga na wanyonyaji wa wananchi kwani ulivyoandika break down ya Uganda na Kenya zinaeleweka vizuri lakini ya Tanzania umechanganyachanganya mambo ili kuchakachua akili za wachangiaji.
Umeandika uwongo kwani hata perdiem ya mbunge siyo 55,000/=.
Hii canser ya uchakachuaji kwa watanzania wengi hadi bunge na serikali inahitaji dawa ya haraka, ikibidi hata kuwashughulikia viongozi wenye tabia hiyo kibinafsi badala ya kulaumu ofisi zao!
Haikubaliki hata kidogo!
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Ulichofanya hapo juu ni kukusanya takwimu hizo (sijui chanzo wala ukweli wake) lakini irrational and poor thinking imekufanya uone pesa wanazopata wabunge wa Tanzania ni ndogo kulinganisha na na wenzao wa East Africa. Tambua haya;

a) Remunerations are NEVER comparative country-wise. Wabunge wa Kenya hawachukui asilimia ile ile ya GDP sawa na Tanzania.
b) All MPs, whoever they are in the mentioned countries are thieves, corrupt and irrational. They are there for personal benefits. Daniel Yona, Mramba, Msabaha, Lowassa, Chenge, Rostam Aziz, ni baadhi tu ya wabunge ambao maamuzi yao yanalisumbua taifa hili.
c) Hujasikia wabunge hawaendi hata majimboni kwao mpaka wakati wanagombea kuchaguliwa tena? Ni kazi gani tusizojua wabunge wanafanya?? Kupigana vijembe bungeni?? Kusinzia?? Kupiga makofi??

Uwezo wako wa kiuchambuzi ni dhoofu sana.
 
atuwekee mishahara ya madaktari na waalimu kwa nchi zote.tulinganishe

Kweli tuwekee ndo tuzidi kuamini walim na madaktar wako kwenye hali mbaya pamoja na hali ngum na mazingira magum ya kazi
 
Hii analysis yako hujaeleza differences ya uchumi katika nchi hizi,

Living expenses za kenya na tz zinautofauti kabisa, kwahiyo absolute figures haziwezi kuwa conclusive ya nani anapokea sana na kidogo,

Umetumwa kuwatetea wabunge au?, au wewe ni mmoja wao,

Conclusive remarks zako zinaonesha hujali maslahi ya taifa bali ya upande fulani
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Vipi kuhusu
Afisa Elimu wa Mkoa na wilaya
Afisa Mifugo, Misitu wa mkoa na wilaya na hata afisa nyuki kama wapo
Afisa Maji wa mkoa na wilaya
Mhandisis wa Mkoa nawilaya
RPC wa mkoa na wilaya
Mganga mkuu wa afya mkoa na wilaya

Ukingalia nchi za ulaya hao vyeo vinayofanana na hao niliowataja vina mshaharana marupurupu makubwa kuliko wabunge. Je kati ya mbunge na afisa elimu, wa mkoa nani kai yake ni kubwa na muhimu zaidi.

Kwa nini
  • Siasa iwe ndiy jira inayolipa a si ajira za kitendaji
  • Tunapalilia watotot wetu wakulizwa unataka kuwa nani waseme . nataka kuwa mbunge, Au waziri Na sio waseme Afisa Kilimo, Afisa Elimu na RPC wa mka......

Tumeweka politics mbele ulio utendaji.
 
Umeongea ki layman sana mshahara unategemea uchumi wa nchi husika, uzalishaji, mapato na matumizi ya ndani, miradi ya maendeleo ya kipindi husika, inflation rate, vipaumbele ya kitaifa nk nk, sijui kama hivi vinafanana kwa nchi zote ulizozitaja, lakini sinta kulaum sana kama vipaumbele vyetu ni mishahara mizuri tena kwa wabunge tu.
Ndo mana broda wake yule siku ile alisema "wanataka wachukue hela zenu za dawa" wakat anawaadress wazee wa daslam, sasa hz wanazochukua sijui zmetoka kwa cameron au.........
 
You are a disgrace to the society! Kama wewe ni mbunge rudi kajifunze uchambuzi wa masuala mbalimbali na ujue kujenga hoja!

Unaiabisha JF for sure.....
 
Back
Top Bottom