Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars
Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month
Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000
Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000
House allowance = Sh. 70,000
Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.
Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000
Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)
TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.
My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Hii analysis haijakalimilika kwa upande wa Tanzania. Wabunge wa Kenya & Uganda inajulikana how much wanapata kwa mwezi (all inclusive). Hapa kwetu Tanzania mambo hayajanyooka. Yes, wabunge wana basic salary, lakini hizi seating allowances kwa mwizi zinafikia kiasi gani? Hapa ndio kuna wizi wa mchana kweupe. Tukumbuke wabunge wanalipwa hizi seating allowance kwa kila warsha/ mkutano wanayohudhuria. Yaani ni kama mwalimu kulipwa kwa kila kipindi anachofundisha (mbali za mshahara). Akiwa na vipindi vinne kwa siku analipwa kwa kila kipindi.
Inabidi tukae chini na kujumlisha hizi number ili kupata picha halisi ya malipo wanayopata wabunge wetu. Itashtua wengi.
Makinda anahaki kuwapigania wabunge kuongezwa mishahara yao,kama jkiongozi wao,Bunge sio serikali,wabunge siku zote wamepiga kelele kuongezwa kwa mishahara ya wafanyakazia wakul;aumiwa ni serikali sio mama makinda,she is right kwa alilofanya
Solution ya ongezeko la posho za wabunge mbona ni rahisi.
Walimu wote kuanzia ngazi ya cheti mpaka wahadhiri wa vyuoni kugoma maana maisha yamepanda na nyumba za kupanga maeneo wanayoishi zimepanda sana bei. Bila ya laki 200,000 kwa mwezi hupati nyumba ya kuishi. Kuna ndugu na jamaa zao pia na wanataka kuchangia harusi na misiba.
Madakatari wote na wahudumu sekta ya afya kugoma maana maisha yamepanda na nyumba za kupanga maeneo tunayoishi zimepanda sana bei. Bila ya laki 200,000 kwa mwezi hupati nyumba ya kuishi. Kuna ndugu na jamaa zao pia na wanataka kuchangia harusi na misiba.
Polisi na wafanyakazi wote sekta ya usalama wa raia, jeshi na mahakama kugoma maana maisha yamepanda na nyumba za kupanga maeneo tunayoishi zimepanda sana bei. Bila ya laki 200,000 kwa mwezi hupati nyumba ya kuishi. Kuna ndugu na jamaa zao pia na wanataka kuchangia harusi na misiba.
Wanasiasa wa Afrca wote ni wezi, sasa unachotaka kutufananishia hapa ni kiasi gani huo wizi unatofautiana, kwa hiyo kama kenya wanaibia zaidi wananchi wao unawashauri wa Tanzania nao watuibie zaidi. Mbunge wa Kenya anamzidi hata senator wa Marekani mshahara, ulishawahi kusikia hao maseneta wanasema mbona Kenya tunawzidi maendeleo lakini wanatuzidi mishahara.
Issue hapa ni wanasiasa wa Kiafrika kujali matumbo yao na kusahau kugawana rasimilimali ya taifa kwa uwiano sahihi.
USA senator's salary = $165,000/year
Kenyan MP earn = $212,904 per year
Canadian MPS =basic salary of $157,731 per year
England (2009 salaries for MPs) = is £64,766 per annum sijui kama imebadilika ($101,475)