Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
kunae mambo ya kutaka kujua katika serikali ila sio mishahara, ikumbukwe kuwa mshahara ni siri ya mtu mahala popote. kwanini wewe usiweke wako hapa watu wakajua au mapato yako kwa mwezi.Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
hii post takuwa darasa la tatu saiviJamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
hahaaaa,nimecheka sanahii post takuwa darasa la tatu saivi
Gavana Wa benki kuu, mabalozi nkJamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Ninachifahamu kwa uelewa wangu mdogo, MSHAHARA WA MTU NI SIRI YAKE NA MWAJIRI.Bottomline: how much does the president make?
Muajiri wa rais anaitwa nanNinachifahamu kwa uelewa wangu mdogo, MSHAHARA WA MTU NI SIRI YAKE NA MWAJIRI.
OVER. Sijui mwajiri wako n nani sasa.
ina maana hadi leo ikulu hawana website Yao tu wanangoja niniSwali zuri sana na nadhani Ikulu watakapo kamilisha site yao ni vizuri wakiziweka habari hizi wazi kwa wananchi kuziona... Waajiriwa wote wateuliwa na rais ni vizuri tukifahamu mishahara yao!
Wewe na kura yako,Muajiri wa rais anaitwa nan
Weka LinkKwa mujibu wa Mtandao wa MyWage Rais Magufuli wa Tanzania analipwa kama ifuatavyo.
Annual (Kwa Mwaka)Tzs.422,135,637.00. Monthly(Kwa Mwezi):Tzs. 35,178,053.00. Weekly(Kwa Wiki):Tzs 8,118,012.00. Daily(Kwa Siku):Tzs 1,156,539.00
Kama mkuu wa moa tu anapokea Million 6 Rais ndio apokee kiasi huko!! Hapo twadanganywarais anapokea million tisa
je ni kweli Rais Magufuli ka reveal mshahara wake?Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?