Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Liquidity ndo inalipa mishahara, sio 'potential' ya rasilimali..ambazo hata hivyo tumeshindwa kuzipa thamani.unless utuambie turudi kwene ujima wa barter trade..Kiwango cha uchumi una maanisha nini? Tz ni tajiri kuliko zambia, namibia na nchi nchi nyingine sema tu tumeshindwa kutumia rasilimali zetu. Rwanda ni kanchi masikini ila madaktari wao wanapata zaidi ya milioni 5 za Tz. Utaniambia ni wachache, kumbuka pia wao wana rasilimali chache. Kama swala ni uchache na wingi wa watu basi USA wangekuwa masikini. Wao marais wao hawapo angani kila siku kula kodi za umma, hawalipani vikao nk ndio maana wanamudu kulipa vizuri